Pitio Penzi Asilia (Riwaya) - Utamu 18+Nimeshamdanganya Teddy mambo mengi na tayari nimesha-propose nimuoe. Nikaanza kujihisi nina hatia siku chache kabla ya harusi na nikaonelea bora nimueleze ukweli kuhusu past yangu na kila kitu ila yeye hakunipa nafasi hivyo nikaamua niache tu ni-enjoy maisha.Nafahamu kabisa nilianza kumpenda kweli na nikiwa nimeanza kumpenda zaidi tukiwa honeymoon ndipo nilipoharibu...nikakosea kutuma sms, badala ya kumtumia Kenny...nikamtumia yeye...
Nakumbuka kabisa yale maongezi yetu ya siku ile ni kama jana tu.Wote tulikuwa tumelala kitandani huku mimi nikibonyeza bonyeza simu yangu ambapo sms ikaingia kwenye simu yake na akachukua ili afungue na kusoma. Mimi sikuhangaika hata kuangalia kama sms nimemtumia mlengwa ama laa.Sms ilisomeka hivi...."Honeymoon ndio inaisha mshikaji wangu, nimelamba karata dume man, nilikwambia nitapata mwanamke tajiri mwenye pesa atakaetaka nimuoe na ndio hivyo niko nae nakula bata. Maisha hatimae yamenionesha tabasamu msela wangu hahahaaaaa."Teddy alisimama ghafla na kuniambia..."DM nimeipata sms uliyokuwa unataka kumtumia rafiki yako."Macho yakanitoka haswaa na nikatambua ni kosa gani nimefanya. Nikajaribu kumgeukia huku nikitafuta namna ya kujieleza...Ila akalitambua hilo na akatikisa kichwa chake na kuniambia...."Hata haina haja ya kujielezea DM, panga nguo zako twende zetu nyumbani. Honeymoon imeshaisha."Nilitegemea machozi, kelele, kupigwa kibao au ugomvi lakini alibaki kimya tu.Ukimya wake uliniumiza sana siwezi kusimulia. Sikujua niseme au nifanye nini.Jioni tulipofika nyumbani nilikuwa nusu mwehu, alikuwa bado hajanisemesha lolote lile siku nzima.Nikaamua kumfuata na kumpigia magoti huku nikimuomba msamaha na kumueleza jinsi ninavyompenda.Akawa akinitizama tu huku akitikisa kichwa kutoka upande mmoja kwenda mwingine huku machozi mengi yakimtirirka...alikuwa ni mwanamke jasiri sijapata kuona..Akatunga sheria na taratibu za ndoa yetu moja baada ya nyingine huku akilia na baada ya hapo akaelekea chumbani na kujifungia kwa ndani akiniacha nimepiga magoti huku nikishangaa!!Ni miezi 6 sasa tokea ile siku ya kumbukumbu ya ndoa yangu. Naanza kushangaa baadhi ya mabadiliko kutoka kwa DM.Hajaenda kuchukua cash baadhi ya cheki kama tano hivi ambazo nimekua nikimuachia mezani napoenda kazini.Sijui ni nini amepanga kichwani mwake na nina hamu nijue anafanya nini. Sio kwamba ninajali sana ila ni kwamba akili yangu inatamani nijue anawaza yapi.Siwezi kumuuliza kwa sababu mimi mwenyewe nilitunga sheria ya kutoongea pamoja ndani ya hii nyumba.Jumamosi moja mchana wa saa tisa nikiwa nimekaa kwenye sofa nikiangalia episode za movie fulani ya kikorea, DM alitoka chumbani kwake na kuchukha funguo za gari yake juu ya kabati.Nilihisi harufu ya perfume yake na nikajua bila shaka ameoga na kuna mahali anaelekea."Kwaio ndio umejiandaa kwenda kwa ma-girlfriends wako kuendelea na ile biashara yako ya kuwachuna" nikajikuta nikiongea huku macho yakiwa bado kwenye tv."Kwaio mke wangu ghafla ameanza kujali? Huo nliosikia ni wivu ama?" DM akaniuliza huku akija kukaa pembeni ya sofa nililokua nimekaa huku akinishika mabega."Toa mikono yako DM, usiniguse, unafikiri kukuuliza hivyo namaanisha ninajali?""Okey Teddy, kujibu swali lako sasa hivi nimeacha ujinga niliokua nafanya. Nilikueleza kuwa nitafanya kazi kwa bidii ili niwe mwanaume halisi kwako na nilimaanisha...."Nilipata mkataba wa kusambaza stationaries kwenye ofisi za serikali kama mwezi mmoja hivi uliopita na hilo ndilo ninalolifanya kila siku. Ukitaka nitakuonesha mikataba ipo ndani kwangu.....""Hayanihusu na sitaki unioneshe...." Nikamkatisha kabla hajaanza kunielezea zaidi.."Na kuhusu wanawake, sina girlfriend mimi. Bado ninasubiri kwa hamu siku mke wangu atakapokubali kushiriki tendo la ndoa na mimi...ingawa niseme ukweli tu.kwamba uvumilivu unaenda kunishinda...'Sijui nilianza saa ngapi kucheka, ila nikajikuta nikicheka sana maelezo ya DM."Hahaa DM unanitania? Kwaio wewe bado unalo wazo kwamba utatokea muujiza mimi nikalala na wewe? Hahaa niamini mimi sina hamu hiyo mimi""Okey sawa Teddy ngoja tujaribu...nijaribu?"Kabla sijamuelewa alikua anamaanisha nini, mdomo wale ukawa umeshasogea kwenye lips zangu na kuanza kunibusu kwa nguvu.Upande mmoja nilikuwa na hasira na nikijtahidi kwa nguvu kumuondoa lakini akawa amenizidi nguvu.Akaendelea kunibusu kwa nguvu huku nikijitahidi kujizuia na mwishoe nikaanza kulegea na kuhisi vitu vikinitembea mwilini..kwa muda kidogo nikapoteza channel na kujikuta nikizungusha mkono wangu kwenye shigo yake.Nikajikuta niki-enjoy kiss na miili yetu ikasogeana karibu zaidi juu ya sofa....akaamza kunivua suruali niliyokuwa nimevaa...ghafla nikashtukana kuanza kumzuia....nikajichukia kwa kufanya kitendo kile na nikamchukia DM kwa kunifanyia vile."Ehee si nilikwambia, jinsi ulivyo-reapond inaonesha hauko sahihi hamu unayo sana tu...hivyo ipo siku utanipa tu.."Kwa hasira nikajikuta nikimpiga kibao kizito kilichomyumbisha mpaka pembeni ya sofa. Hakutegemea hilo."Usiniguse tena DM, umenielewa?"Akasimama ghafla na kuniangalia kwa hasira kali huku akitoa macho. Sijawahi kumuoma akiwa na hasira vile na nikajua hapa nimeshauwasha moto kwenye kituo cha mafuta.Akanigeukia na kuniambia huku akiwa ametoa macho;"Sasa ni muda wa kuelewa ni nani umeolewa nae".Akaninyanyua kwa nguvu juu juu kutoka kwenye sofa...nikajawa na hofu kubwa."DM pleaae, please niweke chini...samahami kwa kukupiga kibao." Nikajikuta nikimuomba msamaha lakini sura yake ilitisha na kuonesha yuko serious na anachotaka kufanya.Akanibeba kunipeleka chumbani kwake na akanibwaga juu ya kitanda chake. Nikashindwa kujizuia kulia, nikajitahidi kumzuia lakini….Tafadhali kama upo katika ndoa, au una mpenzi nikimaanisha mchumba, usiache kusoma Riwaya hii. Whatsapp - +255 758 018 597
Nimeshamdanganya Teddy mambo mengi na tayari nimesha-propose nimuoe. Nikaanza kujihisi nina hatia siku chache kabla ya harusi na nikaonelea bora nimueleze ukweli kuhusu past yangu na kila kitu ila yeye hakunipa nafasi hivyo nikaamua niache tu ni-enjoy maisha.Nafahamu kabisa nilianza kumpenda kweli na nikiwa nimeanza kumpenda zaidi tukiwa honeymoon ndipo nilipoharibu...nikakosea kutuma sms, badala ya kumtumia Kenny...nikamtumia yeye...

Post a Comment

0 Comments