Utamu wa Dhoruba (Riwaya) - Utamu 18+Nilitoka eneo lile la supermarket na sasa nilikuwa nje, macho yangu yaliendelea kushuhudia wasichana warembo wengi waliyokuwa wakiingia ndani ya supermarket ile.
Macho yangu yalitua kwa mwanadada mmoja ambaye alikuwa akilielekea gari aina ya Land cruser prado lenye rangi nyeusi. Alikuwa na mwili wa wastani uliyogubikwa kila aina ya sifa unazozifahamu. Alikuwa na rangi nyeupe iliyofuatiwa na uzuri wa sura yake ya kitoto. Lipis pana za kunyonya, umbo matata, nyuma alikuwa na chura kubwa. Kwa kweli nilipomtazama nilimtamani ghafla! Na ni hapa ambapo mawazo yangu yalihama kabisa mahali pale, yakanipeleka tayari nipo chumbani kitandani sita kwa sita na yule mwanadada tukijiandaa kwa ajili ya mechi.
“Wewe kaka vipi?” sauti nyororo ya yule mwanadada ilinishtua kutoka katika yale mawazo yangu.
“Yes! Naam,” niliitika katika namna ya kukurupuka huku nikijishtukia, mtarimbo wangu ulikuwa tayari umesimama.
“Mbona unanitumbulia mimacho muda wote?” aliniambia kwa sauti laini iliyozidi kuniamsha hisia zangu zilizowahi kulala usingizi wa wahenga.
“Kwani kuna ubaya nikikutazama?” nilimuuliza huku nikimtazama usoni, alikuwa na macho ya kurembua.
“Hakuna ubaya lakini wewe umezidi kha!” aliniambia huku akiibetua midomo yake, alizidi kuonekana mrembo sana.
“Duh! Siamini,” nilimwambia huku macho yangu yakiendelea kutalii vyema kifuani mwake, alikuwa na chuchu zilizochongoka vyema mithili ya kifuu cha nazi.
“Huamini nini?” aliniuliza kisha akawa kama ananitazama kwa kizembe.
“Hivi kumbe Tanzania bado kuna wasichana warembo?” nilimuuliza swali la kizushi lililomfanya anishangae kwa muda.
“Warembo, kwani umesikia hawapo?”
“Nina miaka kama kumi hivi sijawahi kumuona msichana mrembo kama wewe, wote naishia kuwasoma katika simulizi,” nilimuambia maneno yaliyomfanya atokwe na tabasamu pana lililotengeneza vishimo vidogo mashavuni mwake.
“Hee! Kumbe unajua kuficha siri hivyo?” nilimuuliza huku nikijifanya kama nimeshtuka kwa kuona kitu ambacho sijakitegemea.
“Siri gani?” aliniuliza.
“Nimesimama na wewe muda wote huo kwanini usiniambie kuwa una dimpoz?” nilimuambia katika namna ya kumuuliza swali la kizushi lililomfanya atokwe na kicheko.
“Mbona unanicheka sasa?”
“Hapana sikucheki.”
“Ila?”
“Umenifurahisha tu.”
“Halafu hujaniambia kitu?”
“Kitu gani?”
“Jina lako?”
“Oooh! Sorry naitwa Precious.”
“Precious ndiyo jina lako?”
“Ndiyo Precious Kamba.”
“Aliyekupa jina wala hakukosea yani limefit mahali pake.”
“Hahahaha kwanini?”
“Jina zuri wewe mwenyewe mzuri.”
“Asante na wewe unaitwa nani?”
“Mimi naitwa Akili za wote.”
“Ndiyo jina lako.”
“Ndiyo.”
“Unaishi wapi?”
“Tandale kwa tumbo.”
“Tandale?”
“Ndiyo kwani vipi?”
“Hamna!”
“Sawa.”
“Haya kwahiyo unaingia au unatoka.”
“Nipo katikati.”
“Niambie bhana ili nikupe lift kama hutojali maana naelekea Magomeni napitia Tandale.”
“Dah! Nashukuru Precious umeiokoa nauli yangu ya ngama maani sisi wengine kuja supermarket mpaka sikukuu kwa sikukuu,” nilimwambia Precious kisha akacheka. Tulipanda kwenye gari na safari ikaanza hapo, barabarani hakuna nilichokuwa nawaza zaidi ya mapenzi, Siku hiyo nilipanga niende na Precious mpaka nyumbani kwangu japo alionekana kuwa mwenye haraka mno.
Barabarani Precious alionekana kuwa ni mchangamfu sana, alikuwa akizungumza na mimi utadhani tulikuwa ni marafiki wa muda mrefu kumbe siku ile ndiyo ilikuwa mara yetu ya kwanza kuonana. Hahaha! Wanawake bhana ati! Ameniamini kabisa kiasi cha kunipa na lift.
“Hivi ulisema unaishi wapi vile?” aliniuliza hapa tulikuwa tumefika yalipo makutano ya barabara ya Mwenge kwa wakati huo tulikuwa tumeikamata barabara iliyokuwa inaelekea Makumbusho.
“Magomeni sijui,” nilijibu huku nikijifanya nimesahau.
“Hee! ni Magomeni au Tandale?” aliniuliza huku akinitazama kwa kujiibaiba.
“Kumbe unajua halafu unanichora,” nilimjibu kisha akatabasamu, tabasamu lilelile lililojenga vishomo mashavuni mwake ‘Dimpoz’, alizidi kuonekana mzuri mno.
“Hivi ulisema unaitwa nani?” aliniuliza tena hapa tulikuwa tumeshafika Bamaga.
“Sijui Dick?”
“Dick au Akili?”
“Yeah! Yote majina yangu hayo ila wengi wanapenda kuniita Dick mapenzi,” nilimjibu.
Sikumbuki ni nini kilitokea ila nilishangaa Precious akinitazama kwa mshangao, hakunisemesha chochote alibaki akiwa ameduwaa tu kama sanamu.
“Kuna nini?”nilimuuliza.
“Dick!”
“Naam.”
“Ndiyo wewe.”
“Kwani unanifahamu?”
“Ndiyo wewe au?”
“Hapana ni wewe.”
“Hahaha! Bana acha utani ujue mimi namaanisha?”
“Ndiyo ni mimi.”
“Mimi pia ni shabiki yako huwa napenda sana kusomaga machombezo yako na nina application yenu ya Swahili Simulizi App,” aliniambia kisha akawa kama mtu fulani hivi ambaye hakuwa akiamini kama alikutana na mtu kama mimi.
“Chombezo langu lipi unalipenda sana?” nilimuuliza swali la kichokozi kabisa.
“Yako mengi sana ila kiukweli lile chombezo lako la Lekchara Wangu nililipenda sana yani kila nikilisoma mwili unanisisimka,” alinijibu kisha nikacheka kwa makusudi kabisa.
“Mbona unacheka sasa?” aliniuliza, hapa tayari tulikuwa tumeshafika Sinza Palestina, kulikuwa na foleni yakizushi.
“Nilitaka kushangaa yani usisimke?”
“Kwanini?”
“Haya maswali ya kwanini kawaulize wasanii mimi siwezi kulijibu.”
“Hahahaha!”
“Unanicheka halafu.”
“Hapana.”
“Ila?”
“Unaonekana kuwa mchekeshaji sana.”
“Sana tu mpaka kitandani mimi ni mchekeshaji balaa.”
“Mmh! Huko kitandani vipi?”
“Si nachekesha tu!?”
“Makubwa!”
“Madogo yananafuu.”
“Hahahaha! Bhana acha kunichekesha mimi.”
“Hahahaha!”
“Unaishi na nani”
“Naishi na jina langu.”
“Jina lako?”
“Ndiyo yani naishi peke yangu.”
“Wifi?”
“Sina smart phone.”
“Nini?”
“Wi-Fi situmiagi.”
“Hahahaha! Bhana hujaoa?”
“Bado niponipo kwanza.”
“Unasema?”
“Bado nipo nipo sana tu!”
“Mmh!”
“Sasa unaguna nini?”
“Yani umaarufu wako wote huo hujaoa?”
“Wanawake nyie mnazingua.”
“Kwanini?”
“Mkipendwa hampendeki.”
“Sio kweli.”
“Kweli hata wewe unaonekana ndiyo walewale.”
“Ah! Wapi sio kweli.”
“Nitaamini vipi?” nilimuuliza kisha akacheka kwa aibu, ni hapa ambapo niligundua udhaifu wake. Alikuwa ni msichana mwenye aibu sana, kwake neno hapana halikuzoeleka midomoni mwake, hilo nililifahamu mapema sana na nilipanga kuutumia mpaka akubali kwenda na mimi magetoni.
“Mimi sio muhuni bana,” alinijibu hapo tayari tulikuwa tumefika tandale darajani.
“Nitaamini vipi?”
“Wewe niamini tu!”
“Nikuulize kitu?”
“Ndiyo niliulize.”
“Hivi unaweza kumuamini mwizi aleyetubu?”
‘Hapana.”
“Kwanini kwasababu alikuwa ni mwizi.”
“Basi na mimi sikuamini.”
“Hahaha! Kwahiyo mimi ni mwizi.”
“Hilo umesema wewe.”
“Unavituko wewe?”
“Kidogo tu! sio sana.”
“Niambie.”
“Nikikuambia utakubali?”
“Ndiyo.”
“Twende kwangu.”
“Kwako?”
“Ndiyo.”
“Tukafanyaje?”
“Ukapafahamu tu ili hata siku ukitaka nikusimulie hadithi unakuja tu.”
“Hahaha! Nitachelewa bhana.”
“Huchelewi sekunde ishirini tu! halafu unaondoka zako.”
“Sawa sasa hivi saa ngapi?”
“Saa kumi na mbili.”
“Halafu giza linaanza kuingia.”
“Tutawasha taa,” nilijibu, jibu lililomfanya akacheka.
Tulifika Tandale kwa Tumbo kisha tukatafuta sehemu salama ya kuegesha gari, baada ya kuegesha gari sasa safari ya kuelekea magetoni ikaanza. Moyoni nilikuwa nikijiambia ‘Leo lazima akafe mtu hawezi kutoka salama.”
Tulifika mpaka chumba ninachoishi, kilikuwa ni chumba cha kawaida sana. Ndani kulikuwa na tv flat sceen iliyokuwepo ukutani, kitanda, kochi dogo, kabati la nguo, jiko, baadhi ya vyombo pamoja na friji ndogo.Tulipoukaribia mlango nilimkaribisha kwa uchangamfu wa hali ya juu huku kimoyomoyo nikimwambia leo umeingia choo cha kiume.
“Karibu sana,” nilirudia kumkaribisha huku nikimtazama, alikuwa akitabasamu muda wote. Wakati huo tulikuwa tumeukaribia mlango wa chumba changu.
“Jamani ndiyo unarudiarudia hivyo?” aliniambia huku macho yake yakitazama chini, alikuwa akinionea aibu kwa wakati huo.
“Ndiyo kama taarifa ya habari,” nilimjibu jibu la utani lililomfanya acheke kwa sauti kubwa sana, wakati huo ndiyo tulikuwa tunaingia ndani.
“Jamani wewe,” aliniambia maneno yaliyosindikizwa na kibao cha kizushi mabegani mwangu. Nilihisi kama nilipiga na mtoto mdogo, alikuwa na mkono laini sana.
“Nimefanyaje tena?” nilimuuliza.
“Unavituko,” alinijibu.
“Karibu mwaya mrembo hapa ndipo ninapoishi msela mimi,” nilimwambia huku niwasha taa kisha moja kwa moja akalielekea lile kochi dogo. Alikuwa akikitazama muda wote chumba changu.
“Kuna nini? Nilimuuliza, wakati huo nilikuwa nimekaa kitandani.
“Nini nini?” alinijibu kwa kunirudishia swali.
“Naona muda wote unakishangaa chumba changu vipi wewe ni jambazi nini?”
“Hahahaha! Bhana acha masihara yako.”
“Niambie sasa.”
“Nikwambie nini?”
“Kwanini unashangaa?”
“Siamini.”
“Huamini nini?”
“Kumbe una kila kitu yani umejipanga hongera sana.”
“Sasa hongera ya nini?”
“Ni vijana wachache sana ambao wanaakili kama yako.”
“Akili ya nini sasa?”
“Kujipanga kimaisha kama hivi.”
“Mmh!”
“Nini?”
“Sina usemi.”
“Ila nanilii anafaidi.”
“Nani?”
“Si wifi.”
“Wifi yupi?”
“Ina maana bado hujaoa?”
“Mjini matapeli wengi naogopa yasije yakanitokea kama yale yaliyomkuta Mwana FA.”
“Hahahaha!”
“Ndiyo.”
“Hahahaha!”
“Oh! Halafu samahani,” nilimwambia kisha nikajifanya kama kuna kitu cha umuhimu nimesahau.
“Ya nini tena?” aliniuliza huku akinitazama, macho yake yalionekana kuwa na wasiwasi.
“Hivi unatumia kinywaji gani?” nilimuuliza.
“Bhana usisumbuke mwenyewe hata sikai sana.”
“Hukai sana wapi?”
“Si hapa kwako.”
“Hata kama lakini kwa sisi wahenga wapya tunasema sio vizuri mgeni akaja kwako kisha ukamruhusu aondoke mtupu,” nilimwambia katika namna ya mtego, nilikuwa nimepanga kumteka kisaikolojia ya mapenzi bila ya yeye kujijua. Hahaha! Mimi si ndiyo Dick Mapenzi bhana lazima aisome namba.
“Najua laki…” aliniambia lakini kabala hajamaliza sentensi yake nilimuwahi kwa kumkatisha kauli.
“Lakini nini?” nilimuuliza.
“Muda umeenda halafu sikai sana naondoka mida hii hii,” alinijibu kisha akaitazama simu yake, bila shaka alikuwa akiangalia muda kwa wakati ule.
“Kwani saa ngapi?”
“Saa moja narobo.”
“Duh bado mapema sana.”
“Mapema wakati giza linaingia.”
“Unaogopa giza.”
“Ndiyo naogopa.”
“Jamani wewe si una gari.”
“Sasa gari ndiyo nini?”
“Kinga yako.”
“Mh!”
“Nini?”
“Hakuna.”
Muda wote huo nilikuwa nikawaza nimuanzie wapi ili nimteke kimapenzi. Kitu cha kwanza ilikuwa ni kumleta kitandani, hapo safari yangu ingezidi kuwa ya mafanikio. Haikuwa kazi hata kidogo, nilichoamua kukifanya ni kujifanya kama vile kuna kitu kimekuja na kuningata mgongoni, nilipiga kelele huku nikigaragara pale kitandani.
“Kuna nini?” aliniuliza huku akionekana kuwa na hofu.
“Kuna kitu mgongoni mwangu, halafu sijui ni kitu gani kinang’ata.”
“Nini hicho?” aliniuliza kisha akainuka pale alipokuwa amekaa akawa nanifuata, ilikuwa ni safari ndogo kutokea pale alipokuwa amekaa kuja mapaka kitandani nilipokuwa nimelala huku nikijigaragaza kwa makusudi kabisa.
“Kuna kitu kipo mgongoni kinanitembelea,” nilimwambia huku nikizidi kupiga makelele. Aliponifikia aliketi kitandani kisha akanishika maeneo ya mgongoni, alikuwa akinipapasa kutaka kukiona hicho kitu kilichokuwa kikinitembelea.
“Mbona hakuna kitu?” aliniuliza hapa ni baada ya kunipapasa kwa muda bila kuhisi kitu.
“Kipo kipo kinazidi kunitembelea,” nilimjibu huku nikizidi kulalamika.
“Mbona hakipo?” aliniulizaa.
“Kipo,” nilimjibu.
“Embu vua shati,” aliniambia kisha haraka sikutaka kupoteza muda, nilianza kuvua shati langu, nilipomaliza nilitulia kwa muda nikimuacha azidi kunipapasa kwa kukitafuta hicho kitu cha kufikirika kilichokuwa kikinitembelea mgongoni, nilihisi kupapaswa na viganja laini ambavyo vilikuwa vikitalii mgongoni mwangu, viganja vyake nahisi havikuwahi kushika sabuni kufua au dekio na kudeki, Vilikuwa laini sana.
“Dick mbona hakuna kitu?” aliniuliza kisha nikamgeukia, alionekana kuwa na hofu kubwa sana.
“Hakuna nini?” nilimuuliza huku nikimtazama machoni mwake hapa tayari nilikua nimegeuka yaani nimelala na mgongo.
“Sioni hicho kitu.”
“Kitu gani?”
“Hicho kinachokutembelea.”
“Huwezi kukiona.”
“Kwanini? alafu Dick mbona hapo kwenye nanii pametuna sana jomoni?.. Whatsapp +255 758 018 597 kupata full.

Ikiwa unahitaji huduma ya ENGLISH COURSE kwa njia ya mtandao au upo ndani ya Dar es Salaam Karibu sana.


Post a Comment

0 Comments