Riwaya - Zuri Maovu (kichawi, Mapenzi..)
Kikundi cha wanafunzi wapatao kumi na tano wa chuo kikuu wakibishana juu ya uwepo wa majini katika dunia

"Mimi nabishana hadi asubuhi hakuna majini duniani"

"Chris wewe tatizo lako mbishi mimi nakuambia majini wapo duniani"

"Unajua ni nini,nyinyi waoga mimi siwezi kuamini mashetani hapa duniani"

Mjadala ukanyamaza gafla baada ya gari aina ya Range rover kusimama na kushuka wasichana watatu weupe warefu wenye kila mvuto katika macho ya mwanaume wakiwa na mabegi ya mgongon
 whatsapp +255 758 018 597
"Jamani vyombo hivyo"

"Chris watoto waibukie"

"Si muende nyinyi mimi ndio mumeniona malaya"

Wasichana wakapita mbele ya kundi la wavulana na kuwasalimi wengine wakaitikia isipo kuwa Chris akabaki akiwatazama hadi wanazamia kwenye ngazi za gorofa

"Oya mcheki Chris anavyo wakodolea mimacho hao madem"

"Mmm jamani macho hayana pazia"

Taratibu Chris akanza kupandisha ngazi na kuwaacha wenzake wakimtania kwa maneno ya utani,Chris akaanza kuchungulia darasa moja baada ya jingine kuwatafuta wale wasìchana

Akajikuta amefika darasa la mwisho la gorofa na kuwakuta wale wasichana wakiwa na wasichana wengine,Kutokana darasa si lake akajikuta akizuga kwa kuweka earphone masikioni na kusikiliza mziki utokao kwenye simu yake

Chris akajikuta amekaa zaidi ya lisaa zima pasipo wanafunzi kuruhusiwa na profesor wao,Baada ya muda wakaruhusiwa wakaanza kutoka mmoja baada ya mwengne

"Sory sister"

"Bila samahani kaka"

"Naitwa Chris nipo mwaka wa kwanza nasomea maswala ya accounts"

"Nashukuru kukufahamu. Unajingine?"
"Ndio nahitaji kukutoa chakula cha usiku"

"Ok niachie namba yako"

Chris akampa namba ya simu huku akiachia tabasamu pana

"Ooohoo nimesahau dada unaitwa nani?"

"Nitakuambia baadaye"

Chris akabaki anathaminisha umbo la yule msichana kwa nyuma akastuka akiguswa kwa nyuma

Chris a.k a ima akastukia akiguswa begani akageuka na kukutana na Janet ambaye ni mpenzi wake tangu walipoanza chuo

"Chris mbona nilikuwa nakupigia simu hupokei?"

"Muda mwingine si ninakuwambia ninakuwa darasani sasa nitapokeaje?"
 whatsapp +255 758 018 597
"Ok leo nataka tutoke pamoja usiku"

"Bwana mimi nitakuwa najisomea"

"Chris hivi unajua siku hizi umebadilika sana kwanza unanijibu upendavyo,hunijali na wala nisikufiche story zako zote nazijua"

Janet alizungumza kwa hasira huku machozi yakimlenga lenga

"Kama umeijua sijui umejua story zangu basi zichukue na uziandikie kitabu uuze basi"

Chris akaanza kuondoka Janet akapiga hatua na kumvuta tishet yake kwa nyuma Chris akageuka kwa hasira

"Nimesema niachie wewe mwanamke kabla sijakufanya kitu kibaya"

"Chris leo hii ndio unazungumza hivyo baada ya kuutoa usichana wangu ndio umekuwa jeuri si ndio"

"Kwahiyo unahitaji nikurudishie huo usichana wako...kesho nitakwenda kukununulia wa kichina nikuwekee"

Janet akampiga Chris kofi la shavu la kushoto jambo lililozidi kumkasirisha Chris

"Sikia wewe usitake nikufanyie kitu ambacho sijapanga kukufanyia nitaiharibu sura yako hiyo"

Chris akandoka na kumuacha Janet akiwa analia kwa uchungu,Janet akajikokota taratibu hadi hostel anayoishi na kujilaza kitandani huku akilia kwa uchungu

Simu ya Chris ikaita na namba ngeni ndio inapiga kwa haraka bila kujiuliza akapokea

"Mambo shem"
Ni sauti ya Maria rafiki wa Janet ilizungumza na kusababisha tabasamu la Chris kupotea usoni

"Pouwa"

"Shem umemfanya nini Janet?"

"Ngoja nitakupigia nipo bize"

Chris akakata simu na namba za Janet na Maria akaziweka kwenye black list kabla hajairudisha mfukoni simu ikaita na namba ngeni,akapokea na kusikilizia

"Hallow Chris"

Sauti nzuri ya kike ilisikika

"Pouwa nani mwenzangu"

"Best yako yule uliyenipa namba jioni.Uko wapi?"

"Hostel wewe je"

"Njo basi hapa ZKY Hotel tupige mastory"

"Powa dakika kumi nitakuwa hapo"

Chris akakata simu kwa furaha na kujiandaa haraka,akakodi tax hadi ZKY alipoambiwa kwa bahati nzuri wakaonana

Chris kwa furaha akakumbatiana na rafiki yake kisha akakaa kiti cha pembeni yake

"Chris sory kwa kukusumbua"

"Hakuna tatizo vipi nikuagizie chakula gani?"

"Chris huko nilipotoka nimekula nimeona nijeshushie na huu mvinyo"

Muhudumu akaja kumuhudumia Chris kisha akaondoka
 whatsapp +255 758 018 597
"Ehee nimekumbuka hivi uliniambia utaniambia jina lako"

"Mimi naitwa Dareen"

"Waoo unajina zuri"

"Mbona kawaida wangu"

Chris na Dareen wakaendelea kunywa na kula mpaka wakalewa

"Chris baby siwezi kurudi nyumbani nataka tulale pamoja"

"Kweli baby?"

"Ndio"

Chris akanyanyuka na kwenda mapokezi kuchukua chumba akarudi alipo Dareen wakaelekea chumbani
***

Janet usiku mzima hakupata usingizi kila mara moyo wake ukawa unastuka,taratibu akaamka na kuchukua biblia yake na kusoma baadhi ya mistari kisha akapiga magoti na kusali

Joto kali likazidi kutawala katika chumba alicholala akili yake ikaanza kumuwaza Chris mpaka akakatisha maombi

"Maria Maria Maria"

Janet akamuamsha Maria ambaye anakoroma

"Mmmm.."

"Amka unipeleke kwa Chris ninahisia mbaya juu yake"

"Saa ngapi saa hizi?"

"Saa sita usiku"

"Mmm Janet bwana wewe huoni muda umekwenda?"

"Maria nakuomba tu mpenzi nisaidie kwenye hili"

Taratibu Maria akajinyanyua huku akipiga miyayo ya usingizi akavaa nguo wakatoka pamoja

Wakiwa njiani upepo mkali ukaanza kuvuma mpaka wakaanza kujikunyata

Wakahisi kitu kikipiti nyuma yao wakageuka haraka hawakuona kitu

"Janet umesikia hicho kitu?"

"Ndio sijui ni nini?"

Upepo ukazidi kuvuma majani ya miti ikazidi kupeperushwa

Wakaanza kusikia vishindo vikija nyuma yao kwa mwendo wa taratibu

Maria akamkumbatia Janet ambaye akaanza kusali taratibu kimoyo moyo

Mlio mkali wa mtoto mchanga ukasikika ukilia mbele yao jambo lililozidi kuwaogopesha

"Janet mimi nilikuambia tusije huku umeona sasa"

Janet hakuzungumza kitu chochote zaidi ya kumuomba Mungu wake huku akizidi kuelekea mbele kwenye hostel za wavulana
~~
Chris akaanza kumvua nguo Dareen moja baada ya nyingine huku akiwa ana mthaminisha
 whatsapp +255 758 018 597
Macho ya Chris yakatua kifuani mwa Dareen kwa uchu wa ajabu Chris akaanza kumnyonya Dareem maziwa yake

Dareen akaanza kutoa miguno ya raha anazopewa na Chris,ikafikia hatua Dareen akaanza kumkwaruza Chris kwa kucha zake kali na kusababisha michubuko kadhaa katika mwili wa Chris

Chris akazidi kumnyonya Dareen maziwa yake,hakuishia hapo akashuka hadi kwenye kitomvu ya Dareen na kuanza kukinyonya kwa staili inayomfurahisha Dareen

Vidole vya Chris vikawa na kazi ya kukisugua kisimi cha Dareen,akayashika mapaja ya Dareen na kuyapanua taratibu na kuanza kumnyonya Dareen kama dakika tano

Macho ya Dareen yakaanza kuingia ukungu mweusi jamba ambalo Chris hakuweza kuliona kwani bado anaendelea kunyonya ikulu ya Dareen

Chris akajikuta amegeuzwa na kulazwa chini na Dareen kuwa juu yake kitendo kilicho mshangaza Chris kwani kimefanyika ndani ya sekunde kadhaa

Dareen akaipanua mikoo ya Chris kama anamsulubisha na kuanza kumnyanya Chris shingo yake.Kwa raha anazopata Chris akajikuta amefumba macho na kuzidi kumkumbatia Dareen kwa nguvu huku akitoa miguno ya furaha.

Meno makali ya Dareen yakapenya shingoni mwa Chris na kusababisha damu kumtoka shingoni ambazo zikaishia kinywani mwa Dareen,

Dareen akaendelea kuinyonya shingo ya Chris na kusababisha Chris kupungukiwa na nguvu za mwili

Dareen akajilaza pembeni mwa Chris ambaye hajielewi,Baada ya masaa mawili Chris akarudi katika hali yake ya kawaida akamtazama Dareen ambaye anakoroma fofofo

Taratibu Chris akazishika nguo na taratibu akaanza kuzivaa kwa tahadhari kubwa bila Dareen kustukia kitendo hicho,hakuona haja ya kuva shati taratibu akanyata kuelekea mlangoni

"Chris unakwenda wapi?"

Sauti ya uchovu ya Dareen ilisikika vizuri na kusababisha Chris kustuka ambaye amekaribia kufikia kitasa cha mlango huku akiwa ameshika shati lake mkononi

"Mmm na....na...kw...enda h...ap...o chin..i"

Chris alipata kigugumizi cha gafla na kumfanya Dareen kuachia tabasamu kisha akasimama na kumfwata Chris alipo na kumshika mkono

"Njoo Chris wangu mbona unataka kunikimbia mmmm...?"

Chris akajikuta hana cha kuzungumza,Dareen akamshika Chris mkono na kuuzungusha kiunoni mwake na kuanza kukichezea kifua cha Chris

"Chris sasa upo sawa na mimi huwezi kubadilika tena"

"Kivipi?"

"Utaelewa tu mpenzi"

Chris akajikuta anajishika eneo la shingoni na kuhisi maumivu

"Umenifanya nini hapa shingoni?"

Chris alizungumza kwa jazba huku akimtaza Dareen kwa hasira
 whatsapp +255 758 018 597
"Chris huwezi kunifanya kitu chochote mimi na wewe ni familia moja"

Kauli za Dareen zikazidi kumchanganya Chris na kumsukuma Dareen pembeni kisha akafungua mlango na kutoka

Chris akajikuta ana tazamana na Dareen ambaye aliachana naye chumbani huku akiwa na nguo nyeusi juu hadi chini,Woga ukaanza kumtawala Chris akajaribu kukimbi ila Dareen akamzuia kwa mkono mmoja huku akimshik kifuani

"Chris huwezi kunikimbia hapa duniani"

 whatsapp +255 758 018 597
***

Janet na Maria wakaanza kusikia milio ya vitabu vikipigwa ukutani kwa woga wakakimbilia katika mlango walio ingilia wakastukia ukijifunga kwa nguvu na wakajikuta wakigeuka nyuma kutazama ni nani anaye angusha vitabu na kuona kivuli kikubwa kikiwafwata walipo

Kivuli kikazidi kuwafwata Janet na Maria sehemu walipo gafla kikapotea na mlango ukafunguka kama awali

Maria akawa wa kwanza kutoka huku akikimbia akielekea kwenye hostel zao,Janet akamkuta Maria akiwa amejifunika shuka tayari huku mwili ukimtetemeka,Hakumasemesha kitu zaidi ya yeye kupanda kitandani na kulala

***

Chris akaanza kuhisi mabadiliko kwenywe mwili wake,Asubuhi ya siku hiyo hakusalimiana na mtu wa aina yoyote hata marafiki zake wakaanza kumuhofia ana tatizo

"Oya Chris unatatizo gani kaka nimekupa hi ukanikaushia au ndio shemeji nini amekuzingua?"

Jimy alimuuliza Chris ila hakujibu kitu chochote zaidi ya kumtazama tu

"Kaka hapo shingoni niaje au ndio mechi ilikuwa kali adi ukang'atwa nini?"

Jimy akaachia kicheko na kusababisha watu daraasani na kuwageukia na kuuwashangaa

"Chris kaka kama ni malaya huyo amekupatia mmmmm mpaka kakufanya bubu aise powa bwana ila pole ngoja mimi naelekea store kucheki jezi si unajua mimi ni team captain"

Jimy aliondoka huku akicheka kicheko cha kinafki.Jimy akaingia store na kuucha mlango wazi na kufungua loka lenye jezii za darasa lake

Gafla mlango wa store rome ukajifunga kwa kujibamiza,akastuka ikamlazimu kuchungulia ni kitu gani chenye nguvu ya kuufunga mlango alio uwekea jiwe kwa chini
 whatsapp +255 758 018 597
Akamkuta Chris akiwa amesima huku ameuegemea mlango

"Akhaaa Chris tutauana kwa presha bwana wewe unaona sehemu yenyewe inatisha"

Jimy alizungumza huku akitabasaam,Chris akamtazama Jimy kwa muda kisha akaanza kumfwata taratibu huku macho yake yakimtirika machozi ya damu

Jimy akaanza kurudi nyuma kwa wogo akasimama ghafla baada ya kukumbana na mtu kwa nyuma

Akageuka na kukutana na Dareen akiwa anatabasamu,kwa woga Jimy akajikuta akianguka chini na kuzimia

"Chris no usimfanye chochote"

Dareen akamzuia Chris ambaye tayari meno yake yalisha chomoza kwa kumshika mkono kwa nguvu

"Chris please elewa ninacho kuambia"

Macho ya Chris a.k a imady yakarudi katika hali ya kawaida

"Dareen hivi umenifanya nini?"

"Chris umekuwa na roho ya kishetani ambayo lengo letu ni kuitawala dunia"

"Kivipi?"

"Sasa hivi una mvuto mzuri zaidi kwa kila akuonaye na unanguvu kubwa ya ushawishi wa kimapenzi kwa kila msichana"

"Kila msichana utakaye mng'ata ni lazima awe katika hali kama hii niliyo nayo"

"Kuna mbinu na taratibu nitakazo kufundisha ambazo ukikosea mtu huyo anaweza kufa na malengo ya kapotea"

Kwa kasi ya ajabu Dareen akamfungua Chris vifungo vya shati lake kisha akafwatia na suruali akabaki kama alivyo zaliwa

"Hatua ya kwanza hakikisha mwanamke hawezi kugundua lengo lako ni lipi"

Dareen alizungumza huku akimzunguka Chris

Dareen akamrukia Chris kifuani na miguu yake kuizungusha kiunoni mwa Chris huku mikono yake ikiwa mabegani mwa Chris

"Usithubutu kumnyonya shingo mwanamke kwani utamng'ata pasipo matarajio"

Chris akamfungua zipu ya nguo ya juu aliyovaa na kumvua kifua kikabaki wazi
 whatsapp +255 758 018 597
"Unapona unahamu ya kunywa damu ya huyo msichana hakikisha unamnyonya maziwa yake kwa stail hii"

Dareen akaanza kumuonyesha Chris jinsi ya kumnyonya maziwa

Dareen akaanza kutoa miguno ya ajabu yenye kila aina nzuri ya kuvutia

Chris kwa nguvu za ajabu akamvua Dareen suruali aliyoiva pamoja na bikini

"Chris hatua nyingine unatakiwa uweze kuzuia nguvu zako kwani kwa mwanamke wa kawaida utamuua"

Chris akamyanyua Dareen na kumuweka juu ya meza yenye vitabu na kusababisha baadhi ya vitabu kuanguka chini

Chris akapiga magoti na kuyapanua mapaja ya Dareen na kuanza kumnyonya ikulu yake kwa kasi ambayo hata mwenyewe akajishangaa ameitoa wapi na kumfanya Dareen kufurahi sana

Chris akazidi kumpagawisha Dareen na michezo ya hapa na pale,wakaanza mechi iliyochukua takribani lisaa zima

Jimy akafumbua macho yaliyojaa ukungu na kuona Chris akimalizia kuvaa shati,kwa woga akarudisha kichwa chini na kulala

***

Janet na Maria wakajikuta wakichelewa kuamka kila mmoja akiwa na uchovu mwingi kutokana na hali iliyowapata jana usiku

"Janet utakwenda class?"

"Mmmm sijisikii vizuri"

Kila mmoja akageukia upande wake na kuendelea kuuchapa usingizi

***

Vyombo vya habari nchini vikaanza kutangaza mabadiliko yaliyo tokea katika chuo kikuu

Wanafunzi wengi wametawaliwa na hali ambayo duniani haijawahi kutokea

***

"Samahani kaka"

Msichana mmoja alimsimamisha Chris ambaye anaonekana kuwa na haraka

"Bila samahani"
 whatsapp +255 758 018 597
"Naweza kuzungumza na wewe?"

"Kwa sasa?"

"Yaa kama huto jali"

"Kwa sasa naelekea library labda nikuachie namba yangu ya simu ili mida mida unicheki"

Chris akaandika namba ya simu kwenye simu ya yule msichana kisha wakaachana na kila mmoja akielekea sehemu yake.

Chris akajikuta akitawaliwa na mawazo ambayo hakujua yametokea wapi,

Akastushwa akishikwa begani na kugeuka na kukutana na Dareen akiwa na wenzake wawili ambao Chris aliwaona siku ya kwanza wakiwa wanashuka kwenye gari

"Baby na wewe mbona unashtuka hivyo?"

"Ahaa nilikuwa na mawazo ila kidogo mamy"

Wakakaa kwenye viti vilivyo vitupu huku Dareen akiwa karibu na Chris

"Baby unawatambua hawa?"

"No siwajui"

"Huyu anaitwa Layte na huyo apa anaitwa Witye"

Chris akawapa mikono Lyte na Witye huku wakionyesha kufurahishwa kwa kumjua Chris

"Jamani huyu ni Chris ni mpenzi wangu ambaye nina waadisia yaani huwa ananifanya muda mwengine nasahau hata lengo tulilo jia"

Wakacheka kwa pamoja.

"Anaonekana ni mtamu ehee"

Lyte alizungumza na wakaendelea kucheka kwa furaha

"Ila jamani huyu muheshimuni kama shemeji yenu sitaki mumsumbue"

"Dareen unawivu wewe mmmm"

Wakajikuta wakikaa kimya na kumtizama msichana anayekuja na kumfwata Chris

"Habari zenu"
whatsapp +255 758 018 597

Janet aliwasalimia ila hakuna aliye itikia zaidi ya kumtazama

"Samahani Chris nakuomba mara moja"

Chris akamtazama Janet kwa macho ya dharau kisha akanyanyuka na wakasogea pembeni kuzungumza naye

"Chris mpenzi wangu hivi ni kitu gani nilichokufanyia?"

"Janet hicho ndicho ulicho niitia?"

"Chris unajua fika kuwa ninakupenda sasa hivi sikuelewi kabisa"

Janet akastuka akiguswa bega kwa nyuma kugeuka akakutana na Dareen akimtazama kwa macho makali

Janet akabaki anatazamana na Dareen huku akikosa cha kuzungumza

"Chris tutazungumza kesho"

Janet akaondoka na kuwaacha Chris na Dareen wakicheka

Machozi yakaanza kumlenga lenga Janet hadi akajikuta akigongana na Jimy

"Shem vipi mbona unalia?"

"Mmmm.."

"Janet tena afadhali nimekuona"

"Jimy sijisikii vizuri naomba uniache kwa sasa"

"Janet hicho ninacho kuambia ni muhimu sana juu ya kunusuru mapenzi yenu"

Janet akakaa kimya na kumsikiliza Jimy

"Kuna hali ambayo imempata Chris ambayo kusema kweli hata mimi inaniogopesha Chris sio mtu bali ni jini"

"Nini..?"

Janet alionekana kushtuka

"Mimi kwa macho yangu nilimshuhudia Chris akitoa machozi meusi huku macho yake yakiwa yamebadilika"

"Weee Jimy hembu acha masihara Chris huyu wangu hawezi kuwa kama unavyosema"
 whatsapp +255 758 018 597
"Wewe si unamuona Chris alivyo siku hizi hakujali wala hana muda na wewe tena kama umemchunguza kwenye shingo ana alama ya kung'atwa"

"Sasa tutafanyaje?"

"Mimi nitawasaidia"

Sauti ya kike ikasikika ikiwaambia na kuwalazimu wageuke na kumtazama ni nani aliyezungumza.Wakakutana na msichana ambaye ni mara yake ya kwanza kumuona

"Naamini munajiuliza mimi ni nani na nimejuaje kitu munacho zungumza"

"Samahani dada hii mada haikuhusu wewe fanya tu upite"

Janet alizungumza huku akimtazama msichana wa watu

"Janet hembu ngoja tumsikilize labda ana chamana cha kutuambia.."

"Tumsikilize nini wakati hawa ndio waibaji wa waume za watu hapa chuo"

"Dada usimzarau usiye mjua kwani hujui nani atakaye kusaidi katika matatizo yako"

"Ni hivi Chris ambaye ni mpenzi wako kwa sasa ana hali ambayo si binadamu japo mwili ni wakibinamu"

Alizungumza huku akimtazama Janet machoni

"Naomba munifwate"

***

"Chris naomba nika kutambulishe kwetu"

Dareen alizungumza huku akimtazama Chris machoni mwake

"Kwenu?"

"Ndio kwani nataka ukapajue kwetu kwenye asili yangu ambayo wewe pia unayo"

"Unaonaje tukaenda nikimaliza masomo?"

"Mimi nahitaji leo"
"Mmmm mbona umenistukiza sana"

"Hapana huwa sisi hatupendi kutoa ahadi kwa mtu alafu isitimie"
 whatsapp +255 758 018 597
"Mimi sipo tayari kwa hilo swala"

"Chris unasemaje!?"

Dareen alizunguza huku akiwa amemtazama Chris kwa mshangao

"Dareen kama ulivyo sikia mimi siwezi kwenda kwenye eneo munalo ishi"

Dareen kwa hasira akamrukia Chris na kumgandamiza ukutani huku akiwa amemkaba shingo

Macho ya Dareen yakabadilika na kuwa yana rangi rangi za kila aina huku meno yake ya mbele manne yakiwa yamechongoka

Kwa nguvu alizo nazo Chris akauchomoa mkono wa Dareen na kumsukuma pembeni mpaka Dareen akashangaa

"Huwezi ukaniongoza kwa kitu chochote Dareen"

Dareen kwa kasi ya ajabu akamrukia Chris na kumrudisha ukutani

Chris akautoa mkono wa Dareen na kuuzungusha kisha akamsukuma pembeni

"Usirudie tena kufanya kitu kama hichi utaumia"

Chris akaondoka na kumuacha Dareen akiugulia kwa maumivu huku hasira ikiwa imempanda (mtoto kawa moto kuliko MAMA)

**

Mwaka 1859 ukoo wa Mason uliaanzishwa na mzee Mason ambaye alikuwa na nguvu za kumiliki kila aina ya majini na viumbe vya tofauti dunia nzima

Nguvu zake zilitokana na kuzaa na malkia wa majini ambaye alimrithisha Mason na kumfanya kuwa na nguvu nyingi na kila kiumbe cha ajabu kiliweza kumsujudia.

Ukoo wake ukazidi kuongezeka kwa kasi ya ajabu huku watoto wake wakiwa wana hali tofauti na binadamu wengine, ila katika kipindi chote hakuweza kuona mtu ambaye anaweza kumkabithi nguvu zake mpaka alipofariki ila nafsi yake ikaendelea kuishi.

Mwaka 1993 mwezi 3 nafsi ya Mzee Mason ikapata tulizo la kumpata mtu ambaye ana uwezo wa kuridhi nguvu zake.Hii ni baada ya Chris kuzaliwa.

Kila usiku wa manane mzee Mason akawa anamtembelea mtoto Chris na kila anavyokua ndivyo alizidi kumpatia nguvu zake
 whatsapp +255 758 018 597
Haikuwa ngumu kwake kuweza kumkabithi Chris mamlaka yake yote ili nafsi yake iweze kupumzika kwa amani

Mzee Mason akamchora Chris alama za nyota kwenye nyayo zake hii ni kumpa nguvu ambazo hakuna kiumbe kibaya kitakacho mzuru

Chris akazidi kukua na nguvu zake zikazidi kuongezeka pasipo yeye mwenyewe kujitambua.
______e. Kulaya_______
Usiku mmoja Chris akajikuta akistushwa usingizini na mzee mwenye mwili mkubwa huku uso wake ukiwa umetawaliwa na ndevu nyingi

Chris hakustuka kwani huyu mzee ni mara nyingi akiwa utotoni alikuwa anakuja kumtembelea.

"Chris leo ni siku yangu ya mwisho kuja kukutembelea"

"Babu Mason una maanisha nini?"

"Ninamaana ya kwamba leo ninakukabidhi kila mamlaka niliyo kuwa nayo mimi...Hizi ni pete tatu nakukabidhi"

"Babu hizi zina maana gani?"
 whatsapp +255 758 018 597
"Hii ya dhambarau inakupa nguvu ya kuweza kumuamrisha kiumbe chochote cha ajabu kikakutii"

"Na hii ya Gold?"

"Ni utajiri ambao wewe unao na inakupa heshima na hii inakusaidia kuzuia hasira zako"

"Hii ya silva?"

"Hii inakusaidia kujilinda?"

"Kivipi?"

"Ukiivaa hiyo adui zako hawataweza kukuona wala kusikia harufu yako"

"Pia inaweza kufuta mawazo mabaya kwa adui zako"
"Sasa babu ninaweza kuzivaa kwa pamoja?"

"Ndio unaweza kuzivaa kwa pamoja ila hakikisha unakaa mbali na Dareen"

"Kwa nini babu"

"Lengo lao ni kuiteka dunia ila wewe ndio unaweza kuiokoa dunia kutoka katika mikono yao"

"Babu lakini ninampenda"

"Kumpenda sio tatizo.Wewe hukuweza kuuthurika kutokana na nguvu ulizo nazo"

"Sasa babu.."

"Hakuna cha sasa na kesho Dareen na atakuja Library na rafiki zake na atahitaji kukuteka uende kwao na ukienda hautarudi tena na lengo lao litafanikiwa"

"Hakikisha unaweza kuyatambua mawazo yao wanayo kuwazia?"

"Kivipi babu?"

"Kuna kitabu Library kwenu kimeandikwa Vampire Story nenda kakisome hicho kitabu hakuna mwenye uwezo wa kukisoma zaidi yako"

"Babu ila nahitaji bado msaada wako"

"Ulipo sasa uwezo wako hauitaji msaada wangu kuza ukoo wetu wa MASON"

Mzee mason akapotea na kumuacha Chris akiwa na mawazo mengi

**

Chris akakichukua kitabu alicho elezwa na babu yake na kuanza kukisoma baada ya muda akamuona Dareen akija na wezake na Dareen akaanza kuwatambulisha wezake kwa Chris.
Dareen akawapigia simu wezake wawili wakakutana katika mti mkubwa wanao utumia kwa mazungumzo yao ya siri ambao upo mbali na chuo

"Jamani kuna mabadiliko nimeyaona kwa shemeji yenu Chris"

"Yapi hayo?"

"Chris amekuwa na nguvu nyingi kupita maelezo na leo ilikuwa ni siku ya kwenda kumtambulisha kwa wazee"

"Sasa amezitoa wapi hizo nguvu?"

"Hata mimi sifahamu kwani niliajaribu kumthibiti nikashindwa na akanifanya kama mtu wa kawaida"

"Hapa kutakuwa na kitu katikati inabidi tuwe makini naye"

"Au ni yule demu wake?"

Dareen aliuliza wezake na kuonekana kufikiria

"Yupi?"

"Yule aliyekuja jana pale library"

"Ahaa kweli yule tunatakiwa tumfanye kitu mbaya tena leo hii"

Wakakubaliana kwa pamoja kisha wakaondoka kwa kasi ya ajabu

***

Chris akaacha kazi anayoifanya akachukua simu na kumpigia Janet

"Upo wapi mke wangu?"

"Leo hii nimekuwa mkeo wewe si unawale wanawake wako wazuri zaidi yangu"
 whatsapp +255 758 018 597
"Hembu niambie upo wapi kuna hali ya hatari inakufwata"

Janet hakuzungumza kitu chochote jambo liliiompa Chris wasiwasi wa kufikiria Dareen na wezake wamesha leta madhara kwa JanetChris akajaribu tena kumpiga simu ya Janet kwa mara hii akakuta haipatikani

Akairudisha mfukoni simu yake,akafumba macho kwa nguvu na kuanza kuvuta hisia za Janet alipo akagundua yupo kwenye jumba la makumbusho

***

"Janet ni nani huyo aliye kupigia?"

Jimy alimuuliza Janet

"Ni Chris"

"Anasemaje?"

"Eti ananiuliza nipo wapi nimemzimia simu"

Gafla Janet na Jimy wakastukia wasichana watatu warembo wakiwa wamesimama mbele yao huku mmoja wao wakiwa wana mtambua kuwa ni mpenzi wa Chris ambaye ni Dareen

"Waaoo Janet Mrs Chris unajifanya wewe ni mjanja ehee zaidi yetu ehee?"

Dareen alizungumza huku akiwa anajipiga makofi kitendo kilicho waogopesha Janet na Jimy

"Kwanini munanifwatilia maisha yangu kama ni Chris si nimewaachia"

Janet alizungumza huku akiwa amejikaza japo ametawaliwa na hofu

Kabla hawajazungumza chochote Chris akafika sehemu ya tukio jambo lililo waogopesha Dareen na wenzake

"Jimy ondoka na Janet"

Chris alizungumza na Jimy akatii akamshika Janet mkono na kutafuta sehemu wakajificha huku wakitazama ni nini kitatokea

"Chris unajifanya mjanja si ndio..?"

Dareen kwa kasi akamfwata Chris ambaye ghafla akapotea mbele ya macho yao wakabaki wameduwaa

Wakastukia mmoja wao akitoa ukulele……. Nini Kiliendelea Whatsapp +255 758 018 597

Post a Comment

0 Comments