Teseko la faida (Riwaya) - Utamu 18+



Na leo ni siku nyingine tena, tukiwa tumejiandaa familia nzima, kasoro wafanyakazi tu, wote tulikua tunaelekea uingereza ila wao walikua wakinisindikiza tu mpaka huko, kwani kila mtu alikua akihitaji kwenda,... Tulikuepo mimi, mama, baba, mamdogo, na dada fatu, tulipanda kwenye vx ya mzee akiwa ni dereva yeye mwenyewe, nyumba tuliiacha na wafanyakazi wote, kwani kuna walinzi kila upande,... Tulipofika Airport tuliacha gari yetu ndani ya usimamizi wao, baba alienda katika dirisha fulani, nasi tukiwa nyuma yake,.. Nilikua nashangaa ndege zinavotua na kuruka angani, maana sehemu kama hii sikuwahi kufika na wala nisingefika kama sio kuingia kwenye hii familia, Sikujua mzee alilipa nini lakini tuliambiwa tusubiri ndani ya nusu saa ili kuisubiri ndege iendayo huko tunapokwenda,... Tulitumia Airport ya Kilimanjaro International Airport (KIA)... Nilitamani hio nusu saa ifike mapema, maana nilikua na shauku ya kupanda ndege tu, siku hio nilikua nimelamba suti sambamba na baba, afu mama na mamdogo wamepiga nguo zao kalii ila sizijui, ukija kwa dada fatu ndio usiseme, yaani tulikua tunapendwa kupita kiasi, na spati picha tukija julikana na huyu mzee..
Muda sio mrefu kuna mndege mkubwa ulishuka, bonge la pipa,
Papo hapo kuna spika zilitangaza kua wale wa kusafiri na ndege hio muda ndio huo, nilitamani niruke chapu niingie ndani, lakini sivyo kwani kulikua na utaratibu wao wa kuingia.... Baada ya kama nusu saa hivi, tulishapanda ndani ya ndege na ndege ndio ilikua inaanza kusafiri, mpaka hapo sasa nikawa nahisi uingereza ndio hii, wakati huo tumefunga mikanda maalum ya kutuia... Dada fatu alikua akinikonyeza tu kijinsia, kana kwamba tulikua na furaha kubwa kufika huko,
Whatsapp +255 758 018 597
BAADA YA MASAAA KADHAA HIVI
Ndege ilitua katika uwanja mzuri kuliko ule tuliokuepo KIA, walishuka watu wengi tukiwemo sisi,
"sheby baba, hili ndio jiji utakalojidai nalo"
"kwaio baba unamaanisha tumefika"
"ndio, yaani hapa tunaita tax itufikishe tunapo pataka"
Aisee hapo palijaa wazungu, kwani kila niliemuona ni mzungu, kila mtu ni mzungu, yaani ni mwendo wa HI, HI, HI, salamu za kizungu izo.....
Haikutuchukua muda mrefu tulifika katika jengo moja zuriiii la vioo tupu, Kuna jamaa flani hivi alitukimbilia baada ya kutuona sisi....
"aaaaaaa kakaaaaaa leo umekuja kunitembeleaa safi sana"
Huyu alikua ni mdogo wake na baba,
"shkamoo"
Nilinsalimia huku nikimuangalia vizuri
"maraaba ujambo"
"sijambo"
Waliendelea kusalimiana na wengine
"shemeji, aaaaa nimekumisi shem languuuu,... Aaaaa namuona na shemu mdogo umetulia tuliiii kama maji vile"
Walisalimiana wote kisha tukaingia ndani.
"vp dogo... Kaka uyu dogo ni nani uyu"
"bwana wee, si shemeji yako kumbe tuna mjamaa hapa afu kaenda kumficha huko kijijini kwao huko"
"mmmhh mbona sijakuelewa"
"ni mtoto wetu"
"acheni masihara nyie mnasema kweli"
"ndio, na nimemleta asomee huku"
"waaaacha bwana, safi sana... Ebana dogo, kwanza unaitwa nani"
"naitwa sharbiny"
"yaani mimi napenda mtu anaependa kusoma, ukizembea tu kwangu ni kosa kubwaaa"
"bamdogoo, mi napenda kusoma sana"
Lakini tulipokua tukiongea kwa furaha mimi na bamdogo, nilimuona mamdogo akiwa kakasirika sana, yaani yule mdogo wake mama,.... Kana kwamba hakutaka mimi kuwepo ndani ya familia hiii... Lakini tukiwa tunaongea na bamdogo mara yeye akaingilia kati, huyu mamdogo sasa, akasema kua
"mimi sidhani kama huku kunamfaa sheby"
Akaulizwa na baba kua
"kwanini kusimfae"
"huyu ni mwizi huyu... Hivyo akikutana na watoto wa huku atakua jambazi huyu"
Sasa baba akaduaaa na kuuliza kwa mshangao
"muizi?.... Haya huo uizi wake umeuonea wapi?"
Kila mtu alikua kimya ili kumsikiliza mamdogo akiongea, na huyu mamdogo ananijua kabisa kua mimi ni chokoraa wa mtaani mana tulishawahi kumuibia pesa, sasa kumbe alinikarili sura yangu... Nikimuangalia mama yeye alikua akimkazia mdogo wake macho kana kwamba walikua wakipeana signo ya kutulia,
"huyu nilikua namkuta kwenye mahindi ya watu kule kijijini anaiba mahindi huyu"
Basi kila mtu akaangua kicheko kasoro mimi tu, mana najua alitaka kuongea ukweli lakini dada yake ndio anamsihi asiongee, basi hali ilikua imebadirika na kulikua na mndhari nzuri inayopendeza,
Baada ya siku hio kupita, nikawa nipo zangu siting rumu naangalia tv, kwani mama na baba pamoja na baba mdogo walikua wamekwenda kunitafutia shule, mwenyeji wao akiwa ni bamdogo saidi, mana huyu mtu tuliomkuta huku uingereza ni mzoefu wa huku mana ndio maisha yake yalipo,.....
Sasa nikiwa zangu nipo sebureni naangalia katuni, mara alikuja mama mdogo na kuketi katika kochi ambalo mie nilikuepo
"ivi we mtoto, huna wazazi"
"samaani mamdogo, mimi sina mzazi hata mmoja na nineshukuru sana kwa kuseidiwa katika familia hiii"
"kwanini mliniibia pesa zangu"
"naomba unisamee mimi, kwani yalikua ndio maisha yetu ya mtaani"
"sasa ole wako uingie anga zangu, itakutoa shingo iyo"
Aliondoka huku akiwa kanitolea macho ya ukali, lakini mie sikua na jinsi zaidi ya kukubaliana na matokeo,....
Kesho yake ilipofika asubuhi nilipelekwa shule, tena ilikua ni shule ya boding... Yaani hakuna kurudi nyumbani mpaka likizo.. Tulifika shuleni na kwa bahati nzuri shule hio kulikua na mwalimu wa kitanzania, na walifanya hivyo kwa maana ya kwamba mimi bado sijazoea madhingira ya kingereza yaani ile kila mahari ni kingereza afu ukizingatia nina miezi kama kumi ama mwaka siijui shule, hivyo kuhimili mafundisho yao kwangu ilikua ni vigumu na ndio mana wakatafuta shule yenye mwalimu anaefundisha kiswahili, na si kua mwalimu huyo yupo kwa ajili yabgu, No bali shule hio pia inafundisha lugha ya kiswahili yaani ni kama somo kama huku kwetu, kama vile unavofundishwa kingereza basi kule wanapenda kukijua kiswahili...... Basi nilikabidhiwa kwa mkuu wa shule huku bamdogo akitoa ahadi kua kila wiki atakua akinitembelea, nilipokabidhiwa kwa mkuu wa shule, kisha nikakabidhiwa kwa yule mwalimu wa kisgwahili na mambo yakaenda sawa..
Shule nzima naona watoto wa kizungu na makabila mengine ila waafrika ni wachache sana, ngazi nilioanza nayo ni kidato cha kwanza nimiwa na umri wa miaka kumi na tatu (13) nikaanza kidato cha kwanza nikiwa bado ni mkali toka nikiwa Tanzania
BAADA YA MIAKA KADHAA KUPITA
( After Several Years Later)
Nilikua ni mtu mzima sasa yapata miaka kama 17 hivi, mana nilianza kidato cha kwanza nikiwa na umri mdogo wa miaka 13... Hivyo nikafauru kwenda kidato cha tano na cha sita, nikavuruga vyote
Mpaka hapo nimemaliza mpaka form six nikiwa na umri wa miaka 19..... Niliporudi kwa bamdogo nikiwa nafuraha ya kumuona... Mara alitokea na kufurahi pamoja
"skuizi una bezi kama jitu zima vile"
"aaaaaaaa bamdogo kwani sina utu uzima"
"aaaaahhh waaapi miaka 19 nayo ni miaka"
"a hahahahahahahahaha... Asee bamdogo eee, nimewamisi sana wazazi wangu, so kama vipi kesho niende Tanzania nikawaone".
"weeeee huo ujinga siutaki, yaani kwenda Tanzania ni mpaka umalize elimu yote"
"lakini bamdogo si nikirudi ndio nitakwenda india"
"mh mh, nenda india kisha ukirudi ndio urudi kabisa Tanzania"
Kuskia vile nilisusa kabisa hata kula mana nimemmisi sana dada fatu... Ukweli ni kwamba nahitajika kwenda india kusomea udaktari, lakini mimi nilipenda kwenda kuwaona kwanza kisha ndio niende India...
Bamdogo alikua ananibania sana kana kwamba mi sina haki ya kurudi nyumbani, mana ni miaka sita sasa imepita sijawai kwenda tanzania, ila sikulaumu sana mana kwenda india ni faida yangu na sio ya mtu, kwani hata dada fatu yenyewe alinisistizia kua nifanye nilichokifata kule, hivyo sina budi kuendelea na elimu ju kwa ju, Basi niliingia chumbani kwangu na kujiandaa niliweka nguo zangu katija begi ili kusubiria safari.... Familia hii ni familia tajiri sana hivyo usione mie kusomea elimu zangu zote katika nchi mbali mbali.... Mana wana uwezo mkubwa wa kifedha, nchi ya uingereza niliizoea sana kuliko nilivyodhania kuishindwa kutokana na uswahili nilionao, kumbe watu wengi wa Tanzania wapo huku wamejaa teleee,....
Siku ya safari iliwadia na leo ndio naenda Airport na bamdogo ili tuende india sote, mana sijawahi kwenda huko hivyo sipafahamu vizuri.... Na kinachonipeleka huko ni kwenda kusomea udaktari, yaani mie ndoto zangu ni kua daktari.. Mana nikikumbuka wazazi wangu walivyokufa mahospitalini mpaka natamani kulia hivyo sihitaji kuona watu wakifa kwasababu ya pesa.....
Nilifika india na mchakato mzima ulijulikana hasa shule niliofikia, kwani nacho nililala hostel za chuo, yaani nitakaa hostel mpaka nikome, mana secondary ilikua ni boding mpaka form six.... Haya tena chuo nakutana na hostel tena ya hali ya juuu ila sema hii ni ya mchanganyiko wa wote wake kwa waume, hivyo ni tofauti na kule nilipotoka, Sasa baada kulipiwa kila kitu bamdogo aliondoka zake na kurudi uingereza ambako ndipo anapoishi,
Shule ilikua imejaa kila aina ya kabila kwani hata waafrika niliwakuta wakutosha, wahindi ndio usiseme wamejaa mpaka basi yani,...... Niliingia zangu bwenini na kuanza kujisomea baadhi ya vitabu vya sayansi ambavyo tulianza kupewa kwa wale wageni wapya wapya kama sisi, Nilikua nipo bize sana mana elimu ndio ufunguo wa maisha hivyo nilikua nimetulia nikiwa nafungua tu kurasa......
Mara ghafla mlango wa chumbani kwangu uligongwa, na ukumbuke kua shule ni mchanganyiko na karibia wote tunaongea kingereza hivyo mimi nitafanya kutafsiri tu ila tumeongea kingereza.... Aliobisha hodi alikua ni mschana wa kihindustan aliokua kajifunga nguo nyingi sana kama vile tunavyowaona katika filamu zao....
"samahana mwalimu anakuita"
Hapo aliongea kingereza lakini sisi wacha tuisome kwa kiswahili ili tuelewane vizuri....
"ok sawa nakuja"
Nilifunga kitabu na kukiacha pale chumbani kwangu kisha nikaitika wito kwa mwalimu......
Sasa cha kushangaza yule alieniita amepita njia nyingine afu na mimi kanielekeza njia nyingine, sikutaka kuihoji sana akili yangu bali nilipiga moyo konde niingie katika mlango nilioelekezwa, wakati mie hapa chuoni ni mgeni wa leo leo, sasa yule mwanamke wa kihindi kama vile alikua hapendi niingie katika ule mlango ambao kaniambia kua mlango huu ndipo alipo mwalimu alieniita, lakini yeye kama hapendi niingie humo ndani, nikajikaza kiume na kuufungua mlango tena niliingia kwa heshma kubwa nikitegemea nakutana na walimu humo ndani, lakini advataizi kwanza nikakutana na moshi mzito wa sigara, kisha mlango ukafungwa nikiwa nimeshaingia ndani, nilikua nafikicha macho kwa muwasho wa moshi ule... Nilipoangalia vizuri mbele yangu, niliona wanawake watano waafrika walikua ni wawili na wahindi watatu, walikua ni wadada wa makamo kabisa,....
"good Evening Madame"
Niliwasalimia kwa heshma ya kujua ni walimu wangu japo walikua wakivuta sigara,
"aaahh nimeitwa na mwanafunzi mwenzangu kua nahitajika huku"
"ndio, tumekuita kwakua umekiuka sheria za shule hiii, kila mwanafunzi hasa hasa wa kiume hua ni lazima awasili katika chumba hiki... Lakini wewe hukufanya hivyo kwanini"
Aliongea mmoja wao huku akinizunguka na kunishika shika mgongoni, jambo ambalo sidhani kama kuna mwalimu anaweza kufanya hivyo....
"nisameeni sana"
"kwanza una umri gani"
"nina miaka 19"
"waaaaoooo damu bado changa sana tutakufaidi mpaka basi, aliendelea kupitisha mkono…."
ONYO
Tafadhali zingatia, Riwaya hii inajumuisha mapenzi 18+,
whatsappp +255 758 018 597 ni refu sana zaidi ya pages 600 yaani zipo mbili part 1 na 2 sehemu moja.
DARASA LA ENGLISH COURSE WHATSAPP
Nafahamu wewe ni msomaji mzuri wa simulizi zetu nap engine upo nje ya Dar na unataka kusoma nasi English Course kupitia Whatsapp unatuamini sana, zaidi tumependa kukuletea huduma ya ENGLISH COURSE kwa njia ya online na uso kwa uso kwa walio Dar es Salaam.(+255 758 018 597)


Post a Comment

0 Comments