Ngoma za Mnanda (Riwaya) - Utamu 18+



Dakika kadhaa zikapita kichwa kikinichemka. Kutahamaki nikawa nimeinuka na kuikabili kabati nikaifungua na kuitwaa albamu ya picha nikarejea nayo kitandani.
Katikati ya albamu ile kulikuwa na picha nzuri ya Shamsa akiwa ufukweni ndani ya mavazi ya kuogelea. Picha hii nilimpigisha kwa wizi baada ya kumuomba mpigapicha mmoja ampige kwa siri na kuniletea picha hiyo kwa malipo ya kutakata.
Vile alipigwa bila ya kuwa na taarifa, alitoka vizuri sana! Rangi yake adimu ya chocolate iliupendezesha mwili wake na kutokeza kwa mng’aro uliovutia hasa katika yale maeneo ambayo ni aghalabu kuonekana wazi hovyo hovyo, ila pale anapoamua kubaki na chupi na sidiria tu.
Vishimo vya kuvutia vya hapa na pale katika kidevu na mashavu yake, miraba miraba mizuri yenye ukubwa wa wastani iliyoizunguka shingo yake na kuikata kata vizuri sana, achilia chuchu zilizosimama vizuri; vilikuwa ni baadhi tu ya vitu viliyoyafanya mate ya uchu yaanze kujaa mdomoni.
Wakati nikiyameza, macho yakashuka chini tumbo dogo na zuri lenye kitovu maridhawa lilikuwa likinisubiri! Mwili ukaanza kupata joto hali mheshimiwa akianza kushtuka, niliposhuka chini zaidi kwenye mapaja. My God! Shamsa!? Acheni niwe zezeta.
Hali niliyoiona pale chini ikayafanya mapigo yangu ya moyo yaende joshi kana kwamba yanataka kuzimika. Yule mheshimiwa kule ‘somewhere’ sasa akasimama barabara kutaka kukagua gwaride la heshima.
Nikatazama mbele ya dressing table yangu kulikuwa na kopo la Rays, sabuni ya Give na Lotion ya E9. Akili ikafanya kazi kuchagua niende bafuni na nyenzo ipi kati ya zile.
Kabla sijachagua, masikio yangu yakanasa kitu. Macho yangu yakageuka haraka kuiangalia TV iliyokuwa humo chumbani. Nikaona polisi wakifanya kuwasukuma watu kwenye Defender. Ilikuwa ile Operation maalum iliyoendeshwa na Mkuu wa Mkoa wa Dare s salaam ya kuondoa machangudoa waliozagaa huku na huko katika jiji la Dar es salaam.
Akili yangu ikapata chaji mpya.
Kumbe kuna mahala ninakoweza kupata tiba muafaka bila taabu, mahali ninakoweza kutibiwa bila kuangaliwa usoni, nikasuuzika mimi na mtima wangu hata nikaona raha na utamu wa dunia.
Bila ya kufikiria mara mbili nikachukua pesa kiasi, nikaweka ndala miguuni na kutimkia stendi. Ilikuwa saa mbili usiku. Nikaparamia daladala moja, baadae nikashuka na kupanda nyingine, niliposhuka nikatemba kidogo nikiuliza hapa na pale, nikiingia kichochoro hiki na kile, hofu ya kukabwa ikawa puani kabisa.
Kutahamaki nikawa nimeibukia nilipopataka
Uwanja wa fisi!
Harufu ya nyama choma ikanipokea, kelele za kanisa hali kadhalika. Katikati kulikuwa na uwanja mkubwa uliosheheni visichana vidogo vidogo vya wastani na wanawake kadhaa ambao mavazi, vitendo na jinsi walivyo walikuwa mwito tosha.
Macho ya wengi wao yalikuwa malegevu mithili ya mtu aliyekula kungumanga. Wengi walikuwa na ndala na miguu yao ilikuwa michafu wenye mchanganyiko wa vumbi masizi na pumba ambazo nyingi zilikuwa zikingali zimeanikwa hadi usiku huo.
“Hoyaaa…!’’ Mmoja akaita.
“Bro!” Mwingine akadakia.
Nikainua macho kuangalia huyo aitwae, mmoja akajaribu kunikonyeza. Nikajikuta nikitabasamu! Sio kwa kufurahishwa na konyezo lake, hasha! Yale macho. Alikuwa na macho mabaya ajabu.
“Twenzetu tuka…!’’ likamtoka neno baya yule wa kwanza. Yule wa pili akajaribu kutabasamu. Likaondokea kuwa tabasamu lililokosa ladha. Zaidi lililochusha na kuudhi. Kicheko kidogo kikaniponyoka.
Vibinti hivi vilikuwa viathirika vikubwa vya madawa ya kulevya. pamoja na kiu yangu kubwa ya ngono, nikavipuuza macho yangu yakasafiri tena na kufanya ziara ndefu katika maeneo anuai ya viwanja vile vilivyolaaniwa.
Muziki mkubwa uliokuwa ukitoka katika baa mbili tatu za kienyeji zilizolizunguka eneo hilo, lile kundi la wachoma nyama ambazo hazikujulikana ni za mnyama gani, walevi waliotamalaki huku na kule wakiyumba, kutukana na kucheza muziki, wacheza kamari, vile visichana vichangudoa pamoja na zile kelele za kanisa kwa pamoja zilipafanya mahala pale sio tu uwanja wa fisi hasa. Bali uwanja wa fujo! Tena fujo lililo chukizo.
Katika kuendelea kuperuzi, nikaona vijana wengi waliokuwa wakiingia na kutoka katika uchochoro mmoja uliokuwa ukipita pembezoni mwa kanisa. Wengi mno.
Pasipo kujitambua na pengine bila ushirikiano maalumu na akili yangu ambayo kwa kawaida ndio mwenyekiti wa mwili wangu, kwa maana ya mfanya maamuzi, miguu yangu ikaanza kurefuka na kupiga hatua ndefu ndefu kuelekea kule kulipokuwa na sumaku iliyokuwa ikiwavuta na kuwatema vijana.
“Sasa vipi mpenzi?” Sauti moja ikaniwahi
’’Mchumba niko hapa, njoo tuyamalize!!” Nyingine ikadakia. Sikuwasikiliza, niliendelea kupiga hatua ndefu kama ninayewahi kitu fulani
“Achana nae!’’ Mmoja akafoka
’’Anawahi kwa wahaya! Angejua kama wahaya ni spare tiyre! He he he halooow!” wakacheka kishangingi kwa sauti zao zilizo toka mfano wa sauti ya redio yenye betri zisizo na nguvu. Sikuwasikiliza!
Nikaingia katika uchochoro ule. Mungu wangu! nikamudu kutamka. Sekunde chache baada ya kuingia nikatokezea katika mnada wa machangudoa hasa, ilikuwa ni mitaa miwili myembamba sana yenye vyumba vidogo vilivyotazama nje.
Ukingoni mwa kila nyumba, mwanamke mmoja aliketi juu ya stuli au kigoda akiwa na kijivazi kilichoacha nje sehemu kuubwa ya mapaja yake, taa inayoyowaka ndani iliachwa iyamulike mapaja yale makubwa na mazuri na kutufanya wakware kutokwa na mate ya uchu.Mapaja wazi mtaa wote! 
Kazi yako ni kupita mbele ya nyumba hiyo huku ukichagua mapaja yaliyonona kupita yote, huku kila uliyemkaribia akikurabisha kwa tabasamu taamu, tabasamu maridhawa. Nikachoka! nisikuamni macho yangu. ‘’Eeeh Tz hii hii, tena Dare s salaam!” Nikawaza kwa mshangao
Nikapiga moyo konde na kupita taratibu nikitazama mapaja hayo kushoto na kulia kwangu, kundi la vijana nilioingia nao katika mtaa huo mwembamba wakipotea mmoja baada ya mwingine kwa zamu na ndani ya vyumba vile na milango kufungwa nyuma yao.
Wakati haya yakitokea; milango mingine iliyokuwa imefungwa, inafunguliwa mmoja baada ya mwingine kwa zamu. Ndani yake wanatoka vijana kama sio wanaume wanaovuja jasho, wengine wakiwa vifua wazi.
Nikaendelea kutembea, kutahamaki nikatokea mtaa mwingine.
Huu haukuwa na vituko, mbele yangu kulikuwa na vijana fulani kama wanne hivi waliokuwa wakitafuta kitu fulani. Nami bila ya kuwaambia nikawa nimewageuza kuwa wenyeji wangu. Nikawafuata kila walipokwenda. Tutukaingia mtaa mwingine.
Huu ulikuwa wa mijimama tipwa tipwa mikubwa yenye maumbo makubwa ya kibantu. Hawa walikuwa ni wazuri maradufu kuliko wale wa awali nikafanya kukaza moyo na kuwapita.
Mtaa uliofuata ulikuwa wa wazee! Hawa sikuwatupia macho japo marambili, nikiwa na wenyeji wangu tukaingia mtaa wa tatu, huu ulikuwa wa mashoga!! nikasikia kinyaa na kutoka mara moja nikawaacha wenyeji wangu wakishughulikiwa katika mtaa huo.
Nikarudi kuzunguka mara ya pili na hatimaye nikajikuta nikiangukia katika mikono ya jimama moja lililo katika kibantu khaswaa ambalo lilikuwa na weupe wa papai bivu.
‘’Mambo?’’ Nikalisalimia
‘’Safi, vipi unataka huduma?’’ Akarembua na kutabasamu, alikuwa na mwanya alikuwa na dimples!! My God, ugonjwa wangu!.
‘’Ndiyo! Nikakubali haraka
‘’Basi karibu ndani!’’ Akafanya kunipisha niingie ndani
‘’Kiasi gani?’’
“We mgeni hapa?”
‘’Ndiyo! Hii ni mara yangu ya kwanza kufika hapa!
’’Si siunataka mapenzi ya kawaida tu?!”
Sikujua mapenzi ya kawaida ni mapenzi gani. Ila kulingana na ukubwa wa mama huyu ambae alinizidi umri kwa kila namna, hali weupe na uzuri wake ukinitisha, nikajikuta nikitikisa kichwa kukubali.
‘’Elfu tatu tu’’ Nikajibiwa.
Nikaingiza mkono mfukoni
‘’Nimekwambia uingie ndani ebo?” Akanikaripia na kuongeza “Kama umetumwa ujue kutuchunguza, sijui kutuchoma ujue hutatoka salama! Tutakupigia kelele za mwizi, wakutwange wakutie mafuta na kukuchoma moto!’’ Akanihitimisha
Nikaogopa na kuruka ndani haraka.
Chumba kilikuwa cha wastani chenye ndoo kadhaa za maji kitanda cha wastani futi nne kwa sita, jiko la mchina beseni lenye vyombo vichache nadhifu na stuli moja tu.
Ukutani kulikuwa na picha kubwa za wanawake wa kizungu walio uchi ambao walikuwa wamelala kitandani katika namna ya kutamanisha kulikovuka mipaka, yule mheshimiwa akaanza fujo tena.
Jimama likaingia na kufunga mlango!!!
Likaondoa kanga kifuani na…. Jamani hili Jimama litamfanya nini kijana wa watu? Tukutane whatsapp +255 758 018 597


Post a Comment

0 Comments