Nahitaji Utamu (Riwaya) 18+



Ni kipindi cha nyuma sana na ni takiribani mwaka mmoja umepita sasa tangu familia ya mama na baba happy kupata mtoto happy na kumsomesha mpaka hapo alipofikia katika masomo yake ya ngazi shule ya msingi na kumaliza na alipo maliza alirudi nyumbani huku akisubiria matokeo ya kufuzu na kuendelea na masomo.
Ilikuwa siku moja asubuhi Mama Happy aliamka na kumwamsha happy ili afanye usafi na kumsimamia dada wa kazi kuhakikisha mazingira yanakuwa mazuri
Mama “happy happy happy!!!!!!!! hamka kumekucha sawa mwanangu”
Happy “mmmmmmh mama mbona mapema sana hivi”
Mama “mda huuuu ni saaa kumi na mbili 12:30 hamka mwanangu ukamwangalie dada huko nje”
Happy “sawaaaaaa!!!! Mama ngoja nivae nguo”
Mama “okay fanya hivyo hakikisha kila kitu kinaenda sawa”
Happy “sawa mama”
Happy aliamka na kuelekea alipokuwa mama kamwambia na kutoka mpaka nje na alikuwa amesimama nje kabisa ya nyumba yao asubui na mapema huku akiendelea kumsimamia kijakazi wao wa ndani kufanya usafi usafi unaozunguka nyumba yao pia na ndani walikuwa wamekwisha maliza...”
Happy; “huo mchanga mbona unaukwepa, kulikoni tena! Heeee ila naomba ufagilie pembeni.”
Dada; “Sawa.”
Happy “Halafu hicho si ni mabaki ya chakula kwa nini unaweka hapo badala ya kwenda kutupa jalalani”
Dada “Haya mabaki ya chakula kuna mtu anakujaga kuchukua.”
Happy “Kuna mtu anakujaga kuchukua? Na husema anapeleka wapi?”
Dada “Anakwenda kuuza kwa wauza mabaki hayo lakini sijamuuliza vizuri lakini ndio hivyo?”
Happy “Mh! Kwani siku hizi na mabaki ya chakula yana biashara yake?
Dada “Nasikia hivyo,” alijibu msichana wa kazi.
“Itakuwa ni kwa ajili ya kazi nyingine lakini si kuuza,? alisema happy.
Ni kweli, happy asingeweza kujua kama mabaki ya chakula ni biashara kubwa sana mjini kwa sasa kwa sababu binti huyo huwa hatoki sana kutembeatembea nje. Kwani huwa akitoka na gari la familia kwenda saloon na viwanja vikubwa. Na akirudi tu nyumbani hushinda ndani tu.
Tangu amemaliza masomo yake ya elimu ya juuu huku akisubiri mambo mengine yatakayo tokea, yeye amekuwa akitumia muda mrefu sana nyumbani kutazama muvi kiasi kwamba hata wazazi wake wamekuwa wakimsema na kumwonya ya kwamba anaweza kupofuka macho na kuleta shidaaa siku za mbeleni lakini happy alikuwa hata kuwaelewa wazazi wake yeye aliona sawa tu.
Baada ya msichana wa kazi kumaliza usafi wa nje na kuhakikisha kaweka vizuri mazingira na waliingia ndani. Alitangulia msichana huyo wa kazi na Linda akafuata nyuma huku akitizama kuwa kazi aliyo ifanya siku hiyo binti huyo wa kazi hakuwai fanya kipindi cha nyuma huku akijisemea asinge fanya hivyo?.
Basi Ile anafunga mlango tu ili kuingia ndani , mara geti likagongwa...
“Kokooo kokoooooo kokooooooo.”
Ilionekana kuwa mgongaji alikuwa akitumia funguo, au kitu cha chuma chochote kile. Ndipo alipogeuka na
Happy akafungua... geti hilooo na kumtazama na kumuona kijana
“Samahani anti, namuulizia…...”
Happy hakutaka kusubiri hadi litajwe jina la huyo anayeuliziwa akafunga geti kwa nguvu na kuegemea kwa ndani akihema kwa nguvu...
“Dada nini” msichana wa kazi aliuliza huku akiwa na hofu maana lilivyofungwa geti hilo alishituka sana.
“Kichaa.”
“Kichaa!”
“Kichaa kabisa kabeba limfuko.” Happy alimwambia dada wa kazi?
“Atakuwa anataka nini?”
“Eti sijui anamuulizia nani, maana nilivyooo mwona tu mi sikutaka hata kumsikiliza.?
Mgonga geti alipoona hali ile aliondoka zake huku akisikitika...huku akiacha lawama nyingi!
“Mademu wengine bwana daaah!, anajiona yeye ni matawi sana,? alisema moyoni mtu huyo. Aliteremka eneo la bonde na kutokea kwenye jalala ambapo aliokota vyakula vilivyokuwa vimemwagwaaa.
Ndipo walipo fika ndani huku happy akiwaza kichaa kichaaaa na alipo mwona mama yake nae alimkimbilia nan a kwenda kutoa mashitaka (malalamiko)
“Mama, mwenzio kidogo nifanyiwe kitu mbaya na kichaa,” alisema happy.
“Na nani?” mama aliuliza huku akiwa na jaziba pindi alipopokea malalamiko hayo?
“Kichaa.” Happy alijibuu
“mmmmmh mwanangu Ilikuaje? Na kakuzuru mwanangu?
“Sisi tulikuwa tunaingia ndani, name nilikuwa nyuma na mtu wa mwisho lakini ile nafunga geti tu mtu akagonga, kufungua hee! Kabeba mfuko mchafu mgongoni, akasema anamuulizia nani sijui, mi sikutaka hata kumsikiliza maana niliogopa sana”
“Isijekuwa ni wale vijana waokota mabaki ya chakula !?
“Mh! Mama! Mwokota vyakula ndiyo atakuwa mchafu vile?” happy aliulizaaa
“Kwani we hujawahi kuwaona. Wanakuwa wachafu kwa sababu ya kutembea kwenye majalala kila wakati na kwenye nyumba za watu wachache wanao jua kuwa wanaweza kupata watakacho?
“Mh! Sasa ndani alitaka nini maana daaah alinifanya nichanganyikiwe mda huo?”
“Labda alitaka kumuulizia johari mahari alipo weka mfuko alioweka, si ndiyo anaye mwonyesha anapoweka vyakula hivyo?”
“Aaa! Ndiyo kumbe kuna mfuko hapo njee uliokuwa umesheheni alichotaka?”
“Eee. Kwani hamkuwa wote na johari?”
“Nilikuwa naye lakini alikuwa amesha ingia ndani na hakumwona nilimwona mwenyewe tu.”
“Basi atakuwa yeye.” Mama alimaliza kwa kumwambia hivyo.
Mwezi na siku zilipita, siku moja happy alikuwa akitoka na gari kwenda kupiga miseleeeeee!!!!! kama alivyozoea . Ile anamalizia geti tu, yule kichaa alionekana kwenye uso wa binti happy. Happy alitetemeka sana aliamini mtu huyo anaweza kuokota mawe na kulitupia Gari Lake..........! hofu ilitandaaa na kila akizidi kumona.
“lakini huyu si ndiyo yule aliyemsema mama?” alijiuliza happy...
“lakini Ni mwenyewe na ule mfuko si una vitu” Atakuwa ni huyu tu.?
Happy alijipa ujasiri kwa kufungua kioo cha gari cha upande wake na kuchungulia nje... na kuanza kumuuliza kijana huyoooo.
“Za leo ma mdogo?”
“Nzuri tu, mzima?”
“Mi mzima. Vipi yulee demu yupo?”
“Demu gani? Tena huyooooo”
“Kuna demu anaishi ndani humo, mzuri kama maji ya kunde hivi, anapenda kuvaa magauni marefu na yenye heshimaaa?
Haapy nae alijua ni johari kwa sifa hizo alizo kuwa akimtunuku demu aliye kuwa akimsemaaa,
“Yupo. Wa nini?” aliuliza happy
“Nataka nimshukuru kwa ule mfuko alikuwa kauweka pale nje huwa ananiwekea mimi.
“Ooo! Nitamfikishia salamu zako, we chukua mfuko tena kama upo nenda.”
“Poapoa anti.”
Nae alipotaka kuondoka tu happy alimuuliza kijana huyooo
“Unaitwa nani?”
“Hans.”
“Hans” Hans nani?”
Hans nae alionekana kuwa mbishi kwa kumjibu happy huku akisema
“Aaa anti, mbona maswali gani hayo, we jina la mbele la nini kwanza??
Happy alimwangalia kijana huyo kwa muda mrefu sana. Bado aliamini hata kama ni suala la kufika kila wakati jalalani lakini ana ukichaa kwa mbali. Yote hayo alijiuliza na kujijibu mwenyeweee
“Huyu lazima kichwani hakuna network kwani yaonekana kuwa hayuko vizuri. Mwangalie kwanza, ona! Hajali, hajitambui. Maneno hayo yote aliyaongea binti happy pindi alipokuwa akimtizama sana Hans?
Na ndipo alipo chukia na kutamka maneno mabaya mno binti happy “Kwanza mwisho leo kuja kuokota hapa, nitamwambia johari awe anakwenda kuzitupa jalalani,” alisema happy huku akikanyaga mafuta na kuondoka maeneo ya nyumbani huku Nyuma, yule kijana alikwenda kugonga geti nyumbani kwa wakina happy na ndipo Johari alisikia na alitoka njee.
“Mambo?” alisalimia johari.
“Poa, halafu mbona kuna demu mmoja humu ndani kwenu ananimaindi sana kulikoni mbona anakuwa na shobo ambazo hazina maana yoyote.”
“Yule ni dada, mtoto wa mwenye nyumba na mimi pia ananiendesha sana lakini natafuta nitafanya nini lazima nitiiii tu. Si unawajua wasichana wa kitajiri mambo yaooo?”
“Ah! Ananimaindi sana.
Lakini Katoka hapa mida hii na nilikuwa nakuulizia wewe sijui kanijibuje sijui, yaani na mimi nammaindi vilevile kama yeye anavyonimaindi mimi!
“Usimjali. Unajua alikuwa chuo, karudi sasa lakini hana neno.” Johari alimpa moyo kijana Hans
“Vipi, mama yupo?” hans aliuliza
“Yupo ndani.”
“Mzigo leo vipi?” hakusahau mzigo nao aliulizia hans
“Mzigo si ule pale nimekuwekea tena leo niliuweka vizuri wewe nenda kauchukue tu”
“Niuchukue?”
“Si nimekuwekea wewe, kauchukue.”
“Kwani una haraka?”Aliuliza hans
Wala!? alijibu johari.
Ndipo kijana hans kwa swaga zake alianza kuomba maongezi kwa Johari ili tu siku iishe kwani happy alikwisha mvuruga kwa kiasi kikubwaaa
“Basi tuendelee kuongea.”
“Wewe tu.” Alijubu johari.
Kwa johari kuendelea kuongea kwake ilikuwa furaha kwa vile muda mwingi amekuwa akishinda ndani tu huku akiwa mpwekeee na bosi wake huku akiwa boadi kwani hakuweza kupiga stori na boss wake hata siku moja kwani alikuwa akieshimu kazi yake na kwavile aliweka heshima kwake mnooo.
Happy alipokuwa akienda kusuka na kutengeneza nywele zake alikuta saluni imefungwa kwa siku hiyo huku kukionekana kuwa siku tofautiiii mno na ndipo alipo shika simu yake na namba ya Irene,
Basi alipompigia simu Irene ambaye ndiye aliyekuwa ndiye mhusika na mwenye saloon hiyo huku akipata majibu na alimwambia kuwa mwenye amepata msiba na wasinge weza kufungua kwa siku hiyo. Happy alipo sikia hivyo nae akatoa maamuzi ya hapo hapo na akaamua kugeuza gari na kurudi nyumbani huku akiwa mnyongeee mno kwani alikuwa kapanga mipango mingi siku hiyo lakini alipopokea hilo tu yote ilivurugikaaa mara moja.
Tukirudi upande wa pili kijana hans alionekana kunogesha stori kwa Johari huku akimuuliza maswali magumuu mno mpaka kushinswa ongea.
“Halafu wewe utafanya kazi kwa watu hadi lini?” hans alimuuliza johari ambaye alikuwa aking”atang”ata meno kwa aibu...
“Si mpaka Mungu atakaponijalia kutoka hapa na kuwa na maisha yanguuu vipi kwani.”
“Kwani kutoka hapa mpaka Mungu akujalie?”
“Kwani we unataka kusemaje?”
“Mi nataka kukuoa.”
“He! Wee! Wewe unioe mimi, makubwa!” alijibu Johari huku akichekaaa sana
“Kwani mimi nina nini?”
“Huna kitu na huna uwezo wa kunitoha hapa. Maisha yako yenyewe ni hayo halafu ujiongezee mzigo wa mimi mmmmh huto weza hans?”
“Mimi nakumudu lakini mbona unanichukulia poa sana ipo siku utanielewa tu”
“Hata kama.” Aliongea johari
Ghafla, wakiwa wanaendelea kuongea, mlio wa honi kutoka getini gari la happy ulisikika. Hans hakujua lakini Johari aliutambua mlio huo huku akisimama na kuanza kutapa tapa na kutafuta kipi afanye, lakini happy huyo na honi nyingine mfululizo na kuzidi kumpagawisha johari.
Lakini Johari alishindwa kuingia ndani, akabaki amesimama...
“Dada huyo,” alisema.
Hans anageuka tu, gari linakaribia geti...
“Dah! Noma sana,” alisema moyoni kijana huyo huku akijifanya anaondoka zake...
“Yaani wewe bado upo tu hapa” johari una biashara gani na huyu kibaka?” happy alimuuliza Johari kwa jaziba
“Sina.”
“Haiwezekani.”
Hans alichukia sana kuitwa kibaka na happy
“Anti eee, mimi siyo kibaka bwana.”
“Kibaka wewe!” hans nae alionekana kuwa na hasira kwa kile kitendo cha kuitwa kibaka na kutoa maneno ovyooo
“Johari ebu fungua geti tafadhali sana.”
johari alifungua geti, akazamisha gari na yeye akaingia na kulifunga geti hilo kwa ndani. Moja kwa moja mpaka kwa mama yake happy lile tukio aliloliona mda huo na kumuuliza maswali Johari na kukana aliona ni heri afikishe kwa mama yake.
“Mama, huyu Maimuna mbona simuelewi”
“Kafanyaje?” mama alimuuliza happy
“Nimemkuta amesimama na kijana kibaka kibaka.”
“We johari? aliita mama mtu.
“Abee mama.”
“Ulisimama na nani, unataka kuniletea wezi hapa ndani siyo?”
“Mama siyo kibaka.”
“Ni nani?”
“Yule kijana anaye kuja kuchukua mabaki ya vyakula na kupeleka kuuza.”
“Ha! Sasa na wewe happy, kwani humjui yule kijana?”
“Wewe mama unamjua?”
“Namjua sana, yeye ndiye anatupunguzia uchafu kuwa mwingi wa kulipia. Si kibaka yule kijana sijawahi kusikia ameiba wala amefanya uhalifu mahali.”
“Mh! Kwa hiyo we mama unamwamini siyo?”
“Bila wasiwasi?” Mimi sitaki kumwona hapa nyumbani na akiendelea kuja kuna siku nitampiga risasi, nyie subirini tu.”**
Happy alizingumza na kujibu kwa jaziba sana kwa ile hali iliokuwa imemtokea siku ya kwanza kumwona hans kwa kukimbia mno!
“Namjua sana, kijana huyo na yeye ndiye anayetuokotea uchafu pia na mabaki ya chakula tangu zamani. Si kibaka yule kijana sijawahi kusikia ameiba wala amefanya uhalifu mahali popote labda uwenda mimi sijui lakini sizani kwa anavyoonekana tu wala sio kibaka” mama alionekana kumtetea kijana hans huku akimwelewesha binti yake pamoja na kuto mshauri kufanya kitendo alicho taka kufanya pindi atakapo mwona.
“Mh! Kwa hiyo we mama unamwamini siyo?” happy alimuuliza mama yake tena
Mama nae alimjibu mwanae “Bila wasiwasi mwanangu happy”
Aliendelea tena kuongea happy “Mimi sitaki kumwona hapa nyumbani na akiendelea kuja kuna siku nitampiga risasi, kijana huyooo!”
“Khaa! Sasa hiyo ahadi yako happy inatokana na nini? Mwanangu mbona wataka kuleta balahaaa hapa ndani! Nani amekufundisha kumchukia binadamu wenzako? Mbona sisi wazazi wako hatuko hivyo? Happy mwanangu” mama aliongea kwa upole huku akimsihiii mwanae happy
“Mimi nimesema mama,? alijibu happy huku akiingia chumbani kwake na kuubamiza mlango wake na kumwancha mama akiwa mwenye mshangaoooo uliompelekea kukaaa chini huku akitafakari maneno aliokuwa akizungumza mwanae.”
“mwaaaaananguuuu huyuuuu mbona anataka kuleta balahaaa hapa ndani” alijisemea mama huku akishika tama na kusikitika sana.
.
Siku iliyofuata, asubuhi na mapema jua lilipo chomoza tu wazazi wa happy walikuwa wakijiandaa kutoka mahali...
“happy sisi tunatoka mwanangu, pengine tutachelewa kurudi sawa mwanangu?? Aliongea mama happy.
“Sawa mama mfike salama huko muendako.” Alijibu happy
“Sawa Mbaki salama, mwambie dada afagie kote kama jana mlivyo fanya usafi huku msisahahu kumwekea mabaki yake ya chakula yule kijana?” mama alisisitiza
“Sawa mama.” Happy alijibu tena huku aliposikia katajwa kijana alijibu kwa shingo upande
“vipi kulikoni tena” mama aliuliza
“hakuna kitu mama” alijibu happy
Baada ya wazazi wake kuondoka, happy alirudi chumbani kwake asijue la kufanya. Na alipata wazo ambalo lilimpelekea kushawishika kilahisi sana na kuamua kuweka CD ya X kisha akapanda kitandani huku akisisubilia ianze basi ilipooo anza tu nae kulala kitandani huku akiiangalia CD hiyo na mambo yake makubwa yaliyokuwemo ndani yake huku akifurahia sana na kuhakikisha kuwa chumba kiko salama na hakuna mtu atakaye weza kuona au kumwona akiwa anaangalia kanda hiyo ya video.
Wahusika kwenye mkanda huo walikuwa wakionesha huodari wao sawasawa kiasi cha kwamba wakati mwingine sauti za mahaba zilizokuwa zikitoka zilionekana kuwa juuu na kumfanya happy kusisimka na kupunguza sauti hiyo ili msichana wa kazi asisikie chochote kile. Happy , kama binadamu alijikuta akijipindapinda kitandani na akijinyooshanyoosha mno na kubinuka huku akijipapasa mwenyewe, huku na kule na joto la mahaba kupanda mwilini mwilini mwake na macho yake aliyaweka makini kwenye skrini ya tivii ile, na huku pia macho yake yalilegea na kujaa mahaba ya hali ya juu. Alifikia kipindi cha kuanza kujishikashika sehemu mbalimbali za mwili wake, ikiwa ni pamoja na kujiminyaminya matiti yake ambazo bado zilikuwa mbichi huku akionekana kuwa bado kutumika .
Happy alizidiwa, ikafika mahali akatamani kweli mwanaume wa kumtoa kiu yake ya muda mrefu. Huku akiwaza hayo nae aliacha tv ikiwa imewaka na Alitoka chumbani kwenda kumwita msichana wa kazi...
“johari...”
“Abee dada...?” aliitika Johari
“Njoo” na alipoita na kumsikia Johari na kurudi chumbani mwake kuendelea kuangalia TV.
Msichana wa kazi alifika mlangoni nae, akasimama na kuita...
“Dada nimekuja.”
“Ingia.” Aliongea happy huku akiwa amepanua mapaja yake…
 Whatsapp +255 758 018 597 kupata full
Email - emanmic@yahoo.com

Post a Comment

0 Comments