Joshu Naomba (Riwaya) - Utamu 18+



Kiukweli joshua mimi nilikua ni mtu wa tabu sana katika maisha yangu, na sidhani kama nitafanikiwa kimaisha, na sikua nikijiskia uchungu kila nionapo matajiri mana nilihisi umaskini kwangu ndio nilioumbiwa nao hivyo siwezi kuukwepa,.. Nilifika stendi pale nikatega mago yangu ili kuwatega wale wanaorudi safati na kuhitaji usafiri wa kubeba mizigo yao, nilikua katika mawazo mengi sana kuhusiana na maisha yangu, nilikua nimelala juu ya mago (mkokoteni) Ghafla niliamshwa na kibao kilichotua kwenye mguu wangu
"wewe unalala lala nini amka uchukue kazi ile"
Alikua ni mmoja kati ya makondakta wa mabasi
"ikuapi kazi broo"
"muwahi yule mama pale"
Niligeuza mago yangu na kuelekea kwa yule mama alieonekana kua na mzigo mkubwa sana wa kubeba, mana alikua ana nazi maembe na vitu vingi sana ambavyo ametoka navyo safari...
"kaka niitie Kirikuu (gari aina ya Bajaj ila ya tairi nne)"
Alimuambia konda mmoja ambae alikuepo maeneo hayo..
Mara yule alienishtua mimi ndio akaongea nae
"dada, usijali dogo uyu apa atakufkishaia mzigo wako"
"lakini mimi nilitaka Kirikuu ili niende nayo"
Nikaingilia kati kibiashara zaidi
"samahani mama nitaifikisha hata kwa maelekezo tu"
"mmmhhh nyie vijana wa arusha nyie mnaaminika nyie?"
Yule konda alidakia juu kwa juu
"dada, kweli arusha kuna wezi lakini sio wote, na ndio mana akajiajiri kupitia mkokoteni wake huuu"
"kwanza bado mdogo huyu"
"lakini sister kikubwa si mzigo ufike? Mpe rizki apate kula huyu"
Aahhhhhh yule konda alinipihia debe sana mpaka mwenyewe nikafrai kimoyo moyo... 
"dogo patania bei apo mi napita ivi"
"thenx sana bro"
"usijali.... Ila uaminifu wako ndio nguzo yako ya maisha sawa dogo"
"poa broo"
Aliondoka yule konda na kuniacha nikiwa na yule mama
"enhee utanipelekea kwa shing ngapi"
"ni wapi mama angu"
Nilikua naongea nae huku nikivipakia kwenye mkokoteni wangu, vilikua ni vizito lakini nilikua najitutumua mpaka vipande ili hata ile kauli ya kuasema huyu bado mtoto ife
"sio mbali sana... Niii pale mtaa wa jamhuri pale"
Nilistuka kuskia anaishi mtaa wa jamhuri... Jamhuri ni mtaa wa kitajiri ile mbaya yaani kama ni dar utasema ni mbezi mbezi kule au Ostabei... Yaani ile mitaa ya kishua,... Basi nilipakia ile mizigo yote
"mama kama ni pale utanipa elfu kumi na tano tu"
"sawa... Ngoja nitangulie na toyo utanikuta pale kwenye kona sawa"
"sawa mama"
Nilijijutia kwa kitaja pesa ndogo mada kumbe mtu mwenyewe hana tabu wala nini,...  Daahhh nilitamani nimuite ili nianze upya kuongea bei, lakini nikaona labda huenda ni rizki yangu niliopangiwa na mwenyezi mungu,.... Ilikua inaendea mida ya saa 12 hivi... Ila kamwanga bado kapo, Kweli mama yule nilimkuta mahari aliponambia kua nitamkuta akinisubiria,
"nyumba yangu ni ile pale"
Alinielekeza kwa kidole huku kama akitabasam flani hivi, na mama huyu alikua sii haba mahabuba mungu alimjaalia upande wa huba... Kaibika mpaka kaumuka, ila kwa mimi nilikua kama sioni maumbile mazuri kutokana na hali yangu ya kimaisha, mana najua mademu wakali hupata watu wenye fedha zao,... Jumba la huyu mama lilikua ni bonge la jumba sio mchezo, yaani ni jumba haswa, basi mtoto wa kiume nikaanza kujitutumua kwa kushusha mizigo... Kuna yale magunia ya nazi nilikua siyawezi vizuri
"jamani angali usiumie ankoo"
"haina shida mama"
Nilijikaza mpaka nikaliingiza ndani, doh!! Mpaka mwili ulikua ukiuma kwa mzigo mzito nilioubeba, Baada ya kumaliza kazi yangu nilitoka nje haraka haraka, mana hio nyumba hata nikisimama najihisi sio hadhi yangu hata kidogo,
"mbona umetoka haraka hivyo Anko"
"aaahhhh nilikua nina haraka kidogo"
Nilidanganya kua nina haraka lakini wala sikua na haraka, sema nimeogopa kukanyaga tailizi ya watu kila mara
"pole"
"asante"
"Afu anko, we unapatikana wapi wewe mana nina mdogo wangu nae anakuja keshokutwa na ana mizigo pia"
"aaahhh kijiwe chetu kipo pale jirani tu na stendi"
"oohhhhh ila una simu, ili iwe rahisi kukupata siku hio"
"hapana sina mama"
"ooopss.... Ok sio tabu, unandai kiasi gani"
Nilitamani kuongeza kiwango tofauti na tulivyoelewana lakini nikaona sio vizuri kuongea Biashara mara mbili,
"ni elfu kumi na tano tu mama"
"mmmhhh ooooookeeeeeeeee.....chukua hii hapa"
"lakini mama mi nilikuambia ni elfu 15 tu"
"usijali we chukua hio, mana umeumia na mizigo... Afu ivi umechukua matunda ya kupeleka nyumbani"
"aaaahhh usijali mama nitanunua tu"
"hapana bwana kwanini usichukue matunda na nazi umpelekee mama"
"usijali nitachukua siku nyingine"
"basi njoo kesho mchana kama saa nane hivi"
"sawa mama"
Hatukukawia kuagana, lakini ghafla yule mama akanishika chuchu moja ya kifua changu huku akisema
"ooohhhh sorry, nilijua ni kauchafu kameganda"
"haina shida mama"

Siku hio kwangu ilikua nzuri sana kwani hata hela ya kijiweni sikuhangaika nayo, nilirudisha mago au kwama la watu, kisha nikaingia mahari kwenye kamwanga kisha nikaanza kuzihesabu,
Yule mama alinipa shilingi elfu 50 keshi, Kiukweli toka kukua kwangu sijawahi kuzishika kwa mara moja kama hivi,... Nilichokifanya ni kuingia dukani na kununua kilo 10 za mchele na kilo 10 za unga,... Afu nikapitia buchani na kichukua kilo moja ya nyama, mana tupp watu watatu tu nyumbani......  Siku hio mama yangu alikua na hofu sana juu ya vitu nilivyokuja navyo,
"joshua mwanangu, umetoa wapi pesa ya kununua vitu vyote hivi"
"mama, leo nimefanya kazi sana"
"muongo joshua, mbona kila siku hufanyi hivi"
"leo kulikua na kazi nyingi sana mama angu"
"mwanangu angalia lakini usije ukaiba baba sawa eee?"
"siwezi kufanya hivyo mama.. Siwezi"
Basi siku hio kama bahati, hata mdogo wangu wa kike aliporudi shule alikuja na tatizo la kipesa shuleni kwao, basi na hilo nalo nikalimaliza.... Siku hio tulikula ubwabwa kwa nyama, yani ilikua kama sikukuu kwetu.....

Kesho yake sikua nimeenda shule bali nilikua naisubiria ile saa 8 ya kule kwa yule mama,
"Joshua leo shule huendi"
"mama jana nilifanya kazi ngumu sana yani mgongo unaniuma huuoo"
"mmhhh sawa ila kesho usiache kwenda"
"sawa mama"
Daahhh nilimdanganya mama yangu huku nikiwa na shauku ya kufika kwa yule mama kule, Saa nane kwa maam haikuwa mbali, ilifika nami kwa mama sikuchelewa yaani juu ya alama nipo nje!!
“Karibu Anko”
Mama alinikaribisha kwa tabasamu na wakati huo nilivaa kishamba sana,... Alinikaribisha mpaka ndani... Mama alifungua friji na kutoa juice moja nzitoooo khaaaaa sijawahi kuinywa juice hio, Mama alinipa huku akiniangalia kama mtu mwenye jambo flani na mimi,... .
"iv unaitwa nani anko"
"naitwa joshua mama"
"ooohhh joahua.... Joshuuuu"
"ahahahahaahha"
Nilijichekesha baada ya mama huyo kuliita jina langu kwa mbwembwe....
"mama, jana nilikuta kuna watoto hap vp mbona leo siwaoni"
"ooohh wamekwenda shule mpaka saa 11 ndio wanarudi"
"oookeee, haya mama mimi naondoka"
"sasa unaenda wapi joshua, afu mi nataka nikuite anko tu si sawa"
"lakini mama"
"sitaki hizo lakini zako... Hebu kaa kwanza"
Nilikaa tena mana niliamka kwa kutaka kuaga ili niondoke,
"sawa"
"mbona umekaa mbali hivyo, au mi nang'ataga eee"
"hapana sina maana hio"
Ghafla mama alianza kunisogelea huku akiwa kang'ata lipsi zake, nilijisogeza ili kumkwepa mana nilijua alikua anataka nini
"nini sasa anko, mbona kama sio mtoto wa kiume"
"lakini mama, mimi bado ni mwanafunzi"
"mwanafunzi?? Mwanafunzi wa kidato cha ngapi"
"cha nne"
"khaaa sasa mbona unafanya kazi za mikokoteni"
"ni maisha tu mama angu, wala sikupenda"
Mama alishusha pumzi kubwa na kuangalia chini kama mtu anaetafakari kitu
"sasa sikia, mimi sitaki ufanye hio kazi tena, na kama ni shule mimi nitakugharamikia sawa"
"sawa"
"ok, tunaweza kutoka kidogo"
"sawa"
Aliingia chumbani kwake na kuvaa bizuri kisha akatoka,... Aisee hapo uwani kwake kumejaa magari hayo duuuu.... Alichukua gari moja na kutoka nalo nikiwa nae dereva ni yeye mwenyewe, tulikua tukielekea mjini kati ila sikujua tunaelekea wapi,... Nilishanga kuona tunasimama kwenye bonge moja la dox (duka la nguo) Mi mwenyewe nilikua naogopa kuingia humo ndani, mana duka lenyewe nilikua naliskia tu likitangazwa kwenye redio, sasa leo ndio tumeingia....

Kiukweli mama alinipiga shopping ya ukweli,... Baada ya kupiga shopping ya nguo alinipeleka saluni, nikaenda kupiga bonge la mshevu, afu nikafanyiwa sclubing ya uso, yaani nilipendeza mpaka nimejisahau kua huenda nikawa sio joshua ninaejijua.... Mana nilikua nimependeza hemsamu kasingiziwa,.. Tulipotoka hapo nikaingia kwenye duka la vitu vya shule, nikavuta begi moja kaliii, afu sijasahau yunigom kama pea tatu hivi na viatu vya kutosha, tai za shule... Kila kitu cha shule kwangu kilikua ni kipya,..... Heeeeee nilishangaa tunaingia mpaka kwenye duka la simu, mungu wangu mama alininunulia simu moja kali aina ya Samsung Galaxy S6 simu ilikua kubwa... Yani mimi hata nokia tochi tu yenyewe sijawahi kuitumia je? Huu mtachi nitauweza kweli?... Ila sikuikataa ile simu tena nilionesha kuipenda japo sijui alitoa kiasi gani mana hizo pesa zilikua ni nyingi mno...

Tuliingia kwenye gari kisha mama akaniuliza
"vp anko, kuna tulichosahau kweli"
"hapana mama nadhani kila kitu kipo sawa"
Nilijikuta naanza kumueshimu huyu mama kama mama yangu mzazi,... 
mara simu yake ikaita.. Ila sikuskia walichokua wakiongea, hivyo ilimfanya awe na haraka ghafla ghafla tu,
Alitoka kule mbele kisha akaja huku kwenye siti za nyuma,
"anko.... Naomba upende shule sawa"
"sawa mama"
"afu anko ushaanza kunieshimu ee"
"ndio, tena nakuheshimu kuliko unavyofikiria"
"mimi sitaki iwe hivyo"
"kwanini mama"
"kwasababuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu"
Alinisogele ni whatsapp +255 758 018 597 – Je huyu mama alimfanya nini katoto ka watu ......


Post a Comment

0 Comments