Baba Asijue (Riwaya) - 18+Naitwa Meshack, mtoto wa pekee katika familia ya mzee kelvin, sikubahatika kulelewa na wazazi wangu wote kwa sababu mama yangu mzazi alifariki kipindi tu anajifungua mimba yangu, hivyo nikalelewa na ndugu na wadada wa kazi ambao baba aliwaleta nyumbani. Nilibahatika kukua salama mpaka nikaanza kujielewa, sasa wakati nimekua kijana mzima, baba aliniita na kuniambia kwamba, "mwanangu tangu mama yako afariki sijawai kabisa kuishi na mwanamke ndani, na niliogopa maana nilikuwa nakuona wewe bado mdogo, hivyo nikahisi huenda mama yako wa kambo angeweza kukutesa, na nilitamani sana ukisha kua mkubwa hivi, ndipo nitafute mwanamke ili nimuoe na tuishi nae hapa nyumbani" sikuwa na kipingamizi chochote, maana tayari baba alikuwa kaisha amua, kweli baba alioa na tukaanza kuishi vizuri tu pale nyumbani, baada ya kama miaka miwili mimi nikiwa na kazi yangu, siku moja nilikuja nyumbani nimechoka sana hivyo nikaingia ndani kwangu, nikawasha taa ili nijiande kwenda kuoga niweze kula kisha nipumzike, kusudi kesho niendelee na majukumu mengine. Niliingia bafuni nikaoga, wakati narudi chumbani kwangu nilishangaa sana kuona taa imezimwa, nilihisi labda umeme umekatika hivyo nikaanza kuisogelea swichi kusudi niwashe tena, mara ghafla nikiwa gizani, nilishangaa kuona nakumbatiwa mgongoni na mikono lainii, huku ikie…….
Nini kitaendelea, kutana na mwanamke anayeingia katika mapenzi na mwanae… ni kisa kirefu, tafadhali usikose
Whatsapp +255 758 018 597


Post a Comment

0 Comments